Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kweli kabisa.Ipo siku hawatatumia viboko bali watatumia smg na ak47.
Na kuna watu watasifu na kupongeza.Ipo siku hawatatumia viboko bali watatumia smg na ak47.
Wananchi wanabusara,ipo siku watachoka.Wananchi na Viongozi wa nchi hii wanasikitisha sana sometimes!!
Kwenye ukomunistu Hakuna itifakiHalafu DC wa Kinondoni akakabidhiwa fimbo baada ya naibu waziri kumaliza kuwatandika wale chokoraa.
Hivi DC na Naibu waziri nani ni mkubwa kiitifaki?
Tanzania ni communist state?Kwenye ukomunistu Hakuna itifaki
No,ni chato state!Tanzania ni communist state?