wewe ndo umeongea sasa! mi nikiongeza yangu nina hakika napigwa ban. mana naandika nafuta, naandika nafutaIla kwa hakika akipatikana Mwamwindi mwingine haya matukio ya viongozi wa awamu hii kuwachapa viboko watu wazima na kuwadhalilisha yatakoma mara moja.
nimekosa jina la mnyama la kukuita naomba ujipe mwenyewe! lakin anza na kujielimisha kuhusu utawala wa sheria ni nini. nimekusikitikia sanaUngekuwa wewe uulizwe kuchapwa viboko na kwenda jela unachagua nini? Ungesemaje,huoni kwamba kuchapwa viboko wamesaidiwa? Kwanini ukaanze kusumbua polisi na mahakama wakati unaweza ukawapa adhabu hapo hapo.
Wakiua watajitokeza na kudai kuwa muuaji kaua kwa BAHATI MBAYAMbona huu utawala wa awamu ya tano umegubikwa na mambo ya ajabu sana? Mbona tunaliabisha taifa letu?
Kama mtu ana hatia kwa nini asipelekwe mahakamani?
Sheria za hii nchi zipo wazi kuwa mtu anayepata adhabu ya corporal punishment lazima Dk athibitishe kuwa hawezi kupata madhara kama akipigwa viboko,pia adhabu hii lazima itolewe na mahakama.
Je kwa kihelehele chenu na kisabengo cha kupenda sifa mkipiga mtu akafa?
Mbona huu utawala wa awamu ya tano umekuwa na mambo ya ajabu na udhalilishaji?
Hivi Ccm hii inayojinasibu kuwa chama cha wanyonge ndio imekuwa ya kudhalilisha watu na kuacha kufuata sheria na katiba ya nchi!
Vyovyote itakavyokuwa, akitaka anipeleke sehemu husika na sio kunidhalilisha kwa kunichapa bakora.Kama ikitokea umeiba, yaani wewe ni mwizi na umekamtwa, nguvu hiyo ya kujibu kwa nguvu zote itapoteza labda awe akikuonea bila sababu.
Hii adhabu ilikua chachu ya maadili ktk kijiji changu tena ilifanyika mbele ya hadhira na nmekuja tambua ndo sababu kijiji changu hakina vibaka na wadokozi kama mitaa mingine ya TanzaniaMbona huu utawala wa awamu ya tano umegubikwa na mambo ya ajabu sana? Mbona tunaliabisha taifa letu?