Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ni wazuri KWA nyumba watoto wananyooka sababu wao ni jeshi pili huwa hawakimbiii nyumba utakimbia wewe hata kuwe na dhoruba vipi hata ukikimbia utakuta hawayumbi na watoto wapo strong,ni wapambanaji shida ni discipline sifuri yaani ni wababe thus utulizwa na panga rungu.Kutokuwa romantic hawana time na kuchepuka,wao ni Kazi Kazi tu.
[emoji16][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hebu weka picha zao tuone wanafananaje
Du!ni ushetani huo sasaWalitaka huyo Mwalimu awape pesa, Mwalimu akasema hana hela, only that wakamuua
Kufuatia tukio hilo, Wizara ya Afya imesema inafuatilia kwa kina na aitatoa taarifa rasmi.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Michael Mtenjele ambaye amekiri kuwepo kwa tukio hilo na kumtaka mwandishi kumtafuta baadaye jioni kwa ufafanuzi zaidi.
Jamaa yawezekana alikua anakula wake za watu au mke wa mtu.Polisi wachunguze na watoe taarifa ya uchunguzi.