Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #301
Wewe toka jana unalalamika, ila kwenye uzi hutoki 😂 hebu jisomee tu kimya kimya ujifunze!Vitu mnavyoongea humu vinanizidi kimoo😁😁
Mambo yapo, Mangi kumbe kuna madushelele yenye vipele na hamsemi 😂Hii mada nilikua job ulipoitoa nilikua naitazama bila kusoma kwa makini kumbe ina mambo😁😁