Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Siipendi mtu aniambie hivyo unajua😆
Wanaume wana audacity wewe, subiri watakuambia tu, tena na anasema umeze usiteme.
Kila mtu aje ameshajiandaa🤣
Awkward Season 1 GIF by The Roku Channel.gif
 
Mfungo unaelekea ukingoni, bado siku nne mambo yetu yarudi paanze kuchangamka sasa.

Jibu hilo swali la kwenye kichwa cha uzi au jichagulie jingine hapo chini tupige story!
  1. Hakuna utamu kama ……………........... (malizia)

  2. Kitu gani kuhusu wewe watu wakiona hawawezi kukudhania?

  3. Ukweli gani ukiusema unaweza hata kupigwa mawe ila utausimamia?

  4. Ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu uliyemzidi umri kuanzia miaka 10 na kuendelea? ilikuwaje? tupe kauzoefu kidogo.

  5. Wale mliosumbua wazazi wenu, watoto wenu tayari wanawahangaisha au mmezaa malaika? Weka matukio ya watoto wetu hapa ili ambao bado hawajazaa wajiandae kisaikolojia.

  6. Kama kawaida: niulize swali lolote nitakujibu!

    View attachment 3565249
mnduku
 
Wabongo wengi mna changamoto ya comprehensive thinking, hapo nime andika 3 statement.

Wewe una ziunganisha vipi?, sema nawa elewa maana hatuwezi kuwa vizuri wote upstairs.

- kataa ndoa ila akaishi sogea tukae ukweni, hapo kakaa wapi?.
(Namjua mtu wa hivyo in real life).

- familia muhimu unajua nime zungumzia ipi?, sisi wengine familia ina maana nzito na tofauti.

Ma gt bhana 😂 😂
Daah, umeshinda..
 
Back
Top Bottom