Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #401
Haaa haa, watoto wa moto, lazima uwe na pumzi, la sivyo waachie Gen Z wenzao wachakatane wenyewe kwa wenyewe.Hao watoto nilishaachana nao mda sana, last time nilikutana na wa 25 hivi, usiku mzima ni kuwekana tu, ukitulia kidogo mtu anaongea na 🎤,
Afya muhimu mzee, isije presha yako ya kushuka ikakukutia juu ya kifua cha kabinti.nikajisemea sirudii tena, afya yangu ni muhimu kuliko kipapa😅
Ila umenikumbusha mbali, kuna chauvivu mmoja wa ujanani, ilikua nikimsumbua sana anailalia mashine yake nisiifikie 😂🤣 anasema si ameshanipa niridhike!