Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Mno bwashee, ila kuoa unawaza mara mbili mbili🤔
Mi naona tutaoa tu bwashee, mimi sio mtu wa mambo mengi so najua hilo lazima litatokea tu.

Beside sibling wangu wa mwisho (kike) ndio kwanza class 6 so ana hitaji kampani ya karibu na rafiki yake so I guess sina cha kukimbia.

Hata bimdashi alisha nichana hilo, wacha tuone.
 
Umakini tu unahitajika bwashee, kulala uchi na mtu 24hrs sio jambo dogo, linahitahi subira na umakini
 
Uje ulione😁
Kuliona tu?
giphy-downsized.gif
 
Eee hicho kipindi hamu inakua juu sana na unasikia Raha sana.
Ni kipindi ambacho aibu zinakata unafanya na unaomba kufanywa muda wowote popote bila kusahau tu vitu tupya......
Yaani kama hukula usichana na hapa kwenye hii miaka lazima ucharuke
Hahahah unanikumbusha mambo ya long drive mnazichapa aside the road😋
 
Kwa kweli tunashindwana kwenye issues za 💸 💵 tu. Tatizo anataka 💸 💵 💲 kuliko anavyotoa mambo, lazima kuwe na ulinganifu😅😅
Mpare punguza ubahili, hudumia mwanamama huyo.

Yakikushinda shuka huku kwa hawa mabinti akina Hata najua basi bado wana nguvu, wanaitaka 🍆 sana na gharama zao zinastahimilika!

Sema hapo pumzi yako inaweza kuwa shida mzee mwenzangu 😂🤭
 
Back
Top Bottom