Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #421
Ushiri Rombo kwa wakwe zangu, milimani huko 😂 !Hahha hapa ni kibosho nyumbani au rombo😁😁😁
Ushiri Rombo kwa wakwe zangu, milimani huko 😂 !Hahha hapa ni kibosho nyumbani au rombo😁😁😁
Nimekaa vvip kabisa huku mkuu, sitaki kutia aibu nikihitajika🤣Mh, leo dada ,Binti wa zamani mnaonekana shughuli mnaiweza au ndiyo wale maneno mengi kumbe gogo!
Seran chukua ujuzi huo!! Ila wanawake wanaojisifia kuwa ni mafundi wengi wao hamna kitu! The same kwa wanaume!
Rombo kwa marafiki zangu wa bia, pale nina wana tunasaidiana kwa shida na raha 😁😁Ushiri Rombo kwa wakwe zangu, milimani huko 😂 !
Nina kipindi saa 10, vipi huko mnaanza sangapi?Ni mapema sana kulewa
Kulewa hakuna mda anakudanganya huyo mpareNina kipindi saa 10, vipi huko mnaanza sangapi?
Siipendi mtu aniambie hivyo unajua😆Binti mbona unaandika kwa hasira sana, nini kilikukuta 😂?
Kila mtu aje ameshajiandaa🤣View attachment 3565610
Kabisa, kama hushuki 👅 👅 basi usiombe na mimi nishuke kwako, wote tutumie mikono na vikojoleo, basi!
Safi sana 😊1 - Hayo yananywewa tu, 💦💦
2 - Anaconda
4 - Mdogo
Ulivurugwa 😂Yaani kumbe sikumalizia kuandika🤣🤣🤣
Kuna mtu siku moja alisema humu kwamba "wasabato" na shughuli za 6X6 ni hatari sana!Huyu mpare anazeeka vibaya walah!
Sijui anapigaga na akina nani hizo style zake🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Watu wa huko wanakunywa siyo poa, nilishahuhudia wazee wamejaza makreti nje ya nyumba na wamekunywa usiku mzima mpaka asubuhi, halafu wakanywa supu ndiyo wakaenda kulala 😂Rombo kwa marafiki zangu wa bia, pale nina wana tunasaidiana kwa shida na raha 😁😁
Nuru massage ndiyo nini 🤔 ?Hapa naweza kupata mmama kweli wa kunifanyia Nuru massage ile ya kijapani?😉😉😎
😎😎😎.. hivi kwanza ilikuwaje ukajiita wa zamani...mama Neema🤣Nuru massage ndiyo nini 🤔 ?
Harmful , secretarybird , dosho12 - natafuta mwalimu wa kujitolea; rejea reply hapo chiniNipeee 😉
Pole sana, vipi nikupe kakijana humu kakusaidie kukufundisha kwa vitendo?
Unaipenda familia yako 🫶🏾
Kwa sababu nimezaliwa kwenye miaka ya 80 huko, zamani🤣🤣😎😎😎.. hivi kwanza ilikuwaje ukajiita wa zamani...
Sina mtoto anaitwa Neema 🤣mama Neema🤣
Dah basi wewe sista angu kabisa.. from now onwards ntakuwa na adabuu😑🥹Kwa sababu numezaliwa kwenye miaka ya 80 huko, zamani🤣🤣
Sina mtoto anaitwa Neema 🤣
Wewe wa mwaka gani?Dah basi wewe sista angu kabisa.. from now onwards ntakuwa na adabuu😑🥹
Late naintez hukooWewe wa mwaka gani?
Kakijana ka miaka 20 na kitu, aiseeh 😅😅😅Late naintez hukoo
Kwamba sisi wote uliotutag hapo 👆🏽👆🏽ndiyo tukuchangie kukufanyia hayo mashamsham au unamaanisha nini 😅😅?