Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kwanza nina kesi na wewe 😔Binti wa zamani una miaka mingapi my😉
Nimeona mlenda sa itakuajeKalaleeee
View attachment 3565347
We mm sio wa afu mbiliKwanza nina kesi na wewe 😔
Katoto ka 2,000, mimi nina miaka mingi, unatakiwa uanze kuniaddress na shika moo 😉😂
Pole sana, vipi nikupe kakijana humu kakusaidie kukufundisha kwa vitendo?Dear sister unaniharibu ujue 🥹🥹
Nipeee 😉Pole sana, vipi nikupe kakijana humu kakusaidie kukufundisha kwa vitendo?
Anaweza akarudi ila itakua baada ya kukuambia "I need some space" halafu apotee kidogo 😂😂😂😂
Kwanza anazira harudii tena😁
Ugumu wako unapoishia, wangu ndiyo unapoanziaKhee kupotea labda hamjaclick vzr, sema mi pia mzito kutengeneza marafiki huku duniani🤣 napenda kujifungia pekeangu kwanza🤭
Si ulisema hako ka mchezo umeacha 😂Nimesoma huku najaribu kwa mbaliii 🫘
Mbona kutoa kwenye kipochi manyoya mpaka mdomoni ni mbali sana, mimi kwa kweli sina shida na hilo nitabugia tu biringanya, nipate taste ya huo mchanganyiko wote 🙈🙈Ndio nakimbilia bafunii nawahi kibomba😆😆 ukijichekesha unarushiwa mdomoni🤢
Hebu kajaribu kamoja uje utusimulie 😂🤣Sijawahi na ndio vinakomaaga na mimi havina aibu eti🤔
Baada ya mwaka utaanza tena kuombewa uache uraibu 🤣Hebu subiri nije nikabless kamoja nione inakuwaje🥱
Akili zipo, humu nachangamsha genge tuu.Ila ukituliza akili unakuwaga 🔥🔥🔥 sana
Zaidi ya kuikula nyama kwa nyama?
Nimekusoma sana mpaka nilivyokuja kukujua ni wewe, mtu matata sana kwenye kazi yako, sema wanakuchukulia poa tu humu ndani!
Na mimi ni dereva wa hiace yako, wanaonipelekea moto wote wanapanda bure 😉😂.
Hapo kwenye B hebu fafanua vizuri.
Na ile mishangazi yako au huwa ni fiksi tu!
Inapendeza sana, na ikawe kheri kwenu!
Sawa isiwe kesi ba mkali, nina kazi kidogo nataka nikupe. Upo tayari?We mm sio wa afu mbiliView attachment 3565349
Moango upi?
Yajibu basi, au bado hujapata utulivu wa akili?binti wa zamani ameuliza maswali magumu yanayohitaji utulivu wa akili
Mangi, ndiyo huwa unafungiwa dushelele lako humo?
Uombaji wako umenyooka!ila kwa haraka nachojua, mtu akininyima wewe, mfano kuchat na wewe atakua amenikosea sana, au mfano hata huku jf wakikupiga ban nitaweza kwenda kukata rufaa, kwasababu wamenikosesha upatikanaji wako
Acha nijibu hii paperMfungo unaelekea ukingoni, bado siku nne mambo yetu yarudi paanze kuchangamka sasa.
Jibu hilo swali la kwenye kichwa cha uzi au jichagulie jingine hapo chini tupige story!
- Hakuna utamu kama ……………........... (malizia)
- Kitu gani kuhusu wewe watu wakiona hawawezi kukudhania?
- Ukweli gani ukiusema unaweza hata kupigwa mawe ila utausimamia?
- Ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu uliyemzidi umri kuanzia miaka 10 na kuendelea? ilikuwaje? tupe kauzoefu kidogo.
- Wale mliosumbua wazazi wenu, watoto wenu tayari wanawahangaisha au mmezaa malaika? Weka matukio ya watoto wetu hapa ili ambao bado hawajazaa wajiandae kisaikolojia.
- Kama kawaida: niulize swali lolote nitakujibu!
View attachment 3565249