Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Ni kwendana na mada tu😁
🤣 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣
Mimi alikuwa ananikataza kula kitimoto kisa imani yake, hakafu huyo huyo ananinunulia anasema hii mara ya mwisho! Sema alikuwa ananibembeleza☺️Siku moja akawa ananifundisha kudrive acha niliingize kwenye kichaka, kijana mdogo atakugombeza vibaya sana😁
Haa haaa, kijana anagekununia huyo, gari yenyewe ukute bado anailipia mkopo 🤣
Mimi nikiwa nimekuzoea naongea ila face to face kama hatujawahi kumeet utasema malaika si ndo huyu🤭
Mimi inanichukua muda sana, nakua overwhelmed na naogopa watu, naweza kuanza kukuzoea halafu ukashangaa ghafla tu nimepotea 🤣🤣🤣!
🥰🥰🥰
🤤🤤🤤
View attachment 3565337
Tenaaaaaaaaa 🤣, lazima kajoto kapande
Siipendi kubakishiwa ndani🥴
Daah, sasa akimaliza tu akatoe jamani 🤣
Nimeghairi😆
Haya baki, niambie wewe kadogo kadogo katoto ka 2,000 kama ka Foffana hujawahi kukaonja?
 
🤣 🤣 🤣 🤣

Haa haaa, kijana anagekununia huyo, gari yenyewe ukute bado anailipia mkopo 🤣

Mimi inanichukua muda sana, nakua overwhelmed na naogopa watu, naweza kuanza kukuzoea halafu ukashangaa ghafla tu nimepotea 🤣🤣🤣!

Tenaaaaaaaaa 🤣, lazima kajoto kapande

Daah, sasa akimaliza tu akatoe jamani 🤣

Haya baki, niambie wewe kadogo kadogo katoto ka 2,000 kama ka Foffana hujawahi kukaonja?
Naona aibu mnanifundisha matusi 🫣
 
Back
Top Bottom