Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

1. Hakuna utamu kama wa tendo haswaa na umpendae. Tena awe anakujulia.

2. 2&3 achana nazo.

4. Hapana kwa kweli...
Sikuwahi kupendelea mie hupata umri ambao tunaendana

5. Watoto Bado hawajaanza hekaheka matukio Yao kawaida.

Namba nne naiona kama imebeba ujumbe zaidi..... Nadhani tunatakiwa tuzogoe hapo
 
1. Hakuna utamu kama wa tendo haswaa na umpendae. Tena awe anakujulia.

2. 2&3 achana nazo.

4. Hapana kwa kweli...
Sikuwahi kupendelea mie hupata umri ambao tunaendana

5. Watoto Bado hawajaanza hekaheka matukio Yao kawaida.

Namba nne naiona kama imebeba ujumbe zaidi..... Nadhani tunatakiwa tuzogoe hapo
👏👏
 
umenishikia siti au ndo ubinafsi wa kujipendelea
Nimekushikia, karibu mwaya, pokea na popcorn

giphy 17.GIF
 
jingine hapo chini tupige story!
Hebu ngoja mi niwe serious nijibu maswali..
  1. Hakuna utamu kama ……………........... (malizia)
🍆👅 just kidding..

Hakuna utamu kama mapenzi ya kweli yale yanayokufanya utabasamu peke yako kama chizi kidogo 😌

2. Kitu gani kuhusu wewe watu wakiona hawawezi kukudhania?
Naonekana mpole sana, lakini ukweli nina vibe pan’ la hatari ukinizoea vizuri, unaweza usitake kuondoka tena 😏
3. Ukweli gani ukiusema unaweza hata kupigwa mawe ila utausimamia?
Kuhusu Imani yangu siwezi kuiuza bora nikubali nisieleweke kuliko nijipoteze
4. Ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu uliyemzidi umri kuanzia miaka 10 na kuendelea? ilikuwaje? tupe kauzoefu kidogo.
Ndio, aliyenizidi, alinitreat kama mtoto sikupenda mara anifokee niende kwenye vipindi😒
5. Wale mliosumbua wazazi wenu, watoto wenu tayari wanawahangaisha au mmezaa malaika? Weka matukio ya watoto wetu hapa ili ambao bado hawajazaa wajiandae kisaikolojia.
Nikimuudhi narekodiwa voice note kufikishiwa ujumbe🙆🏽‍♀️
Mwisho wa siku… bado naamini mapenzi ya kweli yapo, na yakija, nitayapokea kwa moyo wote 😘
  1. Kama kawaida: Uliza swali lolote nitakujibu!

    View attachment 3565249
Kama mapenzi ni mchezo… wewe ungependa ba mkali akuchezee vipi ili usitake game iishe?

Tchaoo!😉
 
Back
Top Bottom