Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Wiiiiiiiii 😂😂😂😂😂😂
oiiioo

I used to have this one name 'Broke as hell' (Haha!)
I used to have this one name 'Dating Who?'
Now I've got many names
I've got even the fame
They call me Boss, Big Baller (We we!)
They call me Dangote, Femi Otedola
Money Money
Mzee wa Mi-Note (Pesa!)
Emi Dollar (Hey hey!)
Chekesha uokote Omollah
Mamamh!
Naona kijana kakuingia sana😁
 
Hebu ngoja mi niwe serious nijibu maswali..

🍆👅 just kidding..

Hakuna utamu kama mapenzi ya kweli yale yanayokufanya utabasamu peke yako kama chizi kidogo 😌


Naonekana mpole sana, lakini ukweli nina vibe pan’ la hatari ukinizoea vizuri, unaweza usitake kuondoka tena 😏

Kuhusu Imani yangu siwezi kuiuza bora nikubali nisieleweke kuliko nijipoteze

Ndio, aliyenizidi, alinitreat kama mtoto sikupenda mara anifokee niende kwenye vipindi😒

Nikimuudhi narekodiwa voice note kufikishiwa ujumbe🙆🏽‍♀️
Mwisho wa siku… bado naamini mapenzi ya kweli yapo, na yakija, nitayapokea kwa moyo wote 😘

Kama mapenzi ni mchezo… wewe ungependa ba mkali akuchezee vipi ili usitake game iishe?

Tchaoo!😉
Nilikua sijasoma vizuri, ngoja kwanza niongeze kakinywaji, narudi kujibu hilo swali 🤣🤣
 
Ndio nachaji hapa simu twende naye sambamba🤣
Screenshot_20260331-205808.png
 
1. Hakuna utamu kama wa tendo haswaa na umpendae. Tena awe anakujulia.
Hapo kwenye kukujulia ndiyo penyewe!
2. 2&3 achana nazo.

4. Hapana kwa kweli...
Sikuwahi kupendelea mie hupata umri ambao tunaendana
Sawa 🤭 ngoja wenye experience zao waje watujuze.
5. Watoto Bado hawajaanza hekaheka matukio Yao kawaida.
Mimi nina teenagers hao, ni shughuli!
Namba nne naiona kama imebeba ujumbe zaidi..... Nadhani tunatakiwa tuzogoe hapo
Haya tulijadili hilo, nasikia tuvijana twa 2,000 hatuchoki 😂 kanaweza kukupeleka dakika 45 na kasishuke kakaunga round 2.
 
1. Hakuna kitu kitamu kama nyeto

2. Kutokana na watu kupenda ligi ya Bongo, mara kadhaa wamekuwa wakisikia jina langu (........ Mbaga) lakini hawanijui kwa sura mana pamoja na kutajwa ila sipo on screen.

Anyway, mm n mpiga debe hapa kwenye kituo cha daladala cha Mwanjelwa - Mbeya.

3. Kwa kijana anayejitafuta ...........
A. Epuka ngono zembe
B. Epuka single mother

4. Sijawahi kuwa na mahusiano na mtu aliyenizidi miaka yote hvy.

5. Nasubiri wakati na mwanamke sahihi wa kunizalia uzao wa kwanza, kwangu na kwake.
 
Back
Top Bottom