Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Wiiiiiiiii 😂😂😂😂😂😂
oiiioo

I used to have this one name 'Broke as hell' (Haha!)
I used to have this one name 'Dating Who?'
Now I've got many names
I've got even the fame
They call me Boss, Big Baller (We we!)
They call me Dangote, Femi Otedola
Money Money
Mzee wa Mi-Note (Pesa!)
Emi Dollar (Hey hey!)
Chekesha uokote Omollah
Mamamh!
Niko busy na wewe, kuna mahala niliona moshi nikabaki 😮
 
ila kwa haraka nachojua, mtu akininyima wewe, mfano kuchat na wewe atakua amenikosea sana, au mfano hata huku jf wakikupiga ban nitaweza kwenda kukata rufaa, kwasababu wamenikosesha upatikanaji wako
Hivi we kaka jamani 🙌🙌
 
Najua hili ndiyo jibu lako la ukweli, unavunga tu 😂
Ni kwendana na mada tu😁
Akikutumia meseji unabaki unacheka cheka tu.
Mie nilikua na mahusiano na mkaka huyo, akinipigia simu kama natembea atasema simama kwanza uongee na mimi, mara aanze kunisifia basi niko barabarani nablush na kusmile ki-faleer faleer tu, na bado tukaachana. Japo ni matamu ila usiamini sana mapenzi 😂!
🤣🤣🤣🤣
Mimi alikuwa ananikataza kula kitimoto kisa imani yake, hakafu huyo huyo ananinunulia anasema hii mara ya mwisho! Sema alikuwa ananibembeleza☺️Siku moja akawa ananifundisha kudrive acha niliingize kwenye kichaka, kijana mdogo atakugombeza vibaya sana😁
Mimi vice versa, kwneye kuandika nina makelele ila live ni kapoleee, huwezi kudhania 😂
Mimi nikiwa nimekuzoea naongea ila face to face kama hatujawahi kumeet utasema malaika si ndo huyu🤭
💯🙌

Oooh pole

Haa haaa, safi, acha mtoto acommunicate hata kama si vitu unataka kusikia.

Yapo, na utapata mtu mtapendana mpaka usahau mapito yote ya nyuma.
🥰🥰🥰
Hapo kwanza nikae vizuri nisianze kujibana bana miguu 🤣.
Mimi napenda anibadilishie spidi na mikao, ile kuna saa pole pole, mnaanza, kisses hapa na pale, baadaye anogeshe aichape haraka haraka, anatia yote ndani breki gololi zake 🤣🤣🤣 nikifika kibo, apunguze spidi anichombeze chombeze tena, tuanze upya taratibu, anibadili mikao, aninyonye vya kunyonya, alambe vya kulamba, na mimi nimfanyie vile anapenda, yani tusipoe.
🤤🤤🤤
1774983707125.gif

Tukimaliza hapo kila mtu ni jasho, na akishamwaga wa wazungu anibakishie ukuni wangu ndani niendelee kuukumbatia kumbatia na Kipochi manyonya!
Siipendi kubakishiwa ndani🥴
Kwa ufupi ni hivyo!

Ukalale mamie!
Nimeghairi😆
 
Back
Top Bottom