Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #301
Wewe toka jana unalalamika, ila kwenye uzi hutoki π hebu jisomee tu kimya kimya ujifunze!Vitu mnavyoongea humu vinanizidi kimooππ
Mambo yapo, Mangi kumbe kuna madushelele yenye vipele na hamsemi πHii mada nilikua job ulipoitoa nilikua naitazama bila kusoma kwa makini kumbe ina mamboππ
Usishangae sana mkuu, tafuta namna na wewe upasue yai mara moja mojaπHahaha, mi nashangaa tu mkuu sina mengi π
Ndio ma nini hayo?Wewe toka jana unalalamika, ila kwenye uzi hutoki π hebu jisomee tu kimya kimya ujifunze!
Mambo yapo, Mangi kumbe kuna madushelele yenye vipele na hamsemi π
Kila nikitaka kutoka nashindwa π’Wewe toka jana unalalamika, ila kwenye uzi hutoki π hebu jisomee tu kimya kimya ujifunze!
Bwana bwanaaaa π€£ π€£ acha kwanza nicheke π€£Umekutana na zilizopindaπ
Utaweza kuacha makando kando yako yote, maana hapo kwenye "mdada mmoja" ndiyo kinakuwaga kipengele kwa wengi.Hahaha, sitaki ngono labda life partner tu mdada mmoja muelewaπππππ
Hivi huwa naonekana kama na makando kando?π€Utaweza kuacha makando kando yako yote, maana hapo kwenye "mdada mmoja" ndiyo kinakuwaga kipengele kwa wengi.
Hahaha nisha zeeka mkuu, miaka 25 duniani sio mchezo natazama tu game ya dunia ina endaje πUsishangae sana mkuu, tafuta namna na wewe upasue yai mara moja mojaπ
Sina kona kona nimejibu swali kama ulivyouliza π€£ π€£ π€£Nimecheka hadi basi mkuuπ π π atoto ataniuwa!!
25 bwashee?Hahaha nisha zeeka mkuu, miaka 25 duniani sio mchezo natazama tu game ya dunia ina endaje π
Mtoto nakuona kwenye utoto wako, mpaka mambo ya kutekenywa π« unajua.si ndio vizuri hicho kipele kinakutekenyaπ
Naam bwashee, uzee sio mchezo sasa hivi hata chumvi natumia kidogoπ25 bwashee?
Dah bwashee, ππ 25 bado kijana sana , nafasi yako bado kubwa mnoNaam bwashee, uzee sio mchezo sasa hivi hata chumvi natumia kidogoπ
Nimeanza kuogopa π¬Ndio ni wewe tu.....Binti mtakatifu usiwe siriaz Sanaa, pambo la uchi si ndo vichaka ulisema kule juu.
Naendelea kupata chochoteMtoto nakuona kwenye utoto wake, mpaka mambo ya kutekenywa π« unajua.
Auwiih!!! Yenye vipele ni tyamu nilisha kutanana nayo. Ukisuguliwa nayo lazima yatokee mengineyo na ikiingia ni kitombo plus msuguliwo.Sis hata mimi zenye vipele sijakutana nazo, Mungu ana watu wengi jamani π€£
Wacha kuni pamba bwashee, from 25- 30 ni chap mno, yaani siku hizi sipendi mambo mengi aisee.Dah bwashee, ππ 25 bado kijana sana , nafasi yako bado kubwa mno
1. Hapo utenge uso wako ndiyo inapendeza π
2. Lina nini?
π―3 - Raha ya utamu
Jazilia jazilia nyama, alikua mkubwa au mdogo? kwanini hamtaachana?4 - Yeah na hatutaachana kamwe.
Hongera sana!5 - Luckily sina msumbufu japo mimi nilishindikana.
No ya huyo mwenye kipele baado unayoππAuwiih!!! Yenye vipele ni tyamu nilisha kutanana nayo. Ukisuguliwa nayo lazima yatokee mengineyo na ikiingia ni kitombo plus msuguliwo.
Ukisikia uumbaji na maajabu yake ndo hayo dada.
Ila maisha yanaweza kunyooka tu umri wowote bwashee, la muhimu mipango tuWacha kuni pamba bwashee, from 25- 30 ni chap mno, yaani siku hizi sipendi mambo mengi aisee.
Baada ya u jobless ni kurudi home, movie, games vitabu nikizidi sana ni kwenda kucheza karata au draft na wazee wenzangu π