Ninywe bia gani isiyoleta hang over?

Ninywe bia gani isiyoleta hang over?

pata chapso lager,endapo itakushinda na hiyo bac hamia nyumbani(bongo)kuna kinywaji kina julikana kama kilambe moyo.
 
Jaribu budweiser.
Pia kunywa kwa pozi na sio kufakamia.
Hakikisha umekula vizuri kabla ya kunywa pombe na pia kunywa maji ya kutosha kabla ya kulala. Mara nyingi hangover inasabishwa na dehydration.
Kama haya hatayakusaidia basi ni bora uache kunywa pombe., la kama ni ngumu kuacha pombe basi asubuhi uamkapo na hangover pata supu mzito na kachupa/kakopo kamoja ka bia (KUZIMUA).
 
Kunywa Heineken, mother of all Beers, being is expensive si hoja ukilinganisha na satisfaction unayopata|Heineken , the greatest invention in the universe so far
 
Duh, pole sana mkuu.. kunywa banana wine, ile kwanza bei poa then ni ndizi halisi. Enhehee, juzi nimeiona moja iko mbezi pale inaitwa RESPECT! Hazina neno.

Nimesikia wanaume wanaokunywa hizo wake zao wamewashtaki ustawi wa jamii!
 
kunywa bia aina yeyote ila tu iwe ya moto na hakikisha between bottle and wake up time 8hrs
 
Bia ni Chimay, unapokunywa hakikisha ina ubaridi wa 8C, na unapoiweka kwenye jokofu isimamishe ukiilaza unapunguza ubora wake na unaweza kuamka na hang over
 
Last edited:
Mkuu kunywa bia ya heikeni, haina hang over kabisa nilitwanga kumi wakati niko high table wakati wa harusi yangu, nilikuwa bomba kinoma, na hasubuhi niliamka mapema toka hotelini kwenda kusalimia wazee nyumbani.
Pata hiyo,haina noma.
Hizi hizi feki au
 
Sasa umeniuliza swali lenye jibu
kifupi hujaangalia mada ni ya lini na alieuliza keshapata majibu yakutosha! nawewe hunywi umesema sasa huku kama sio kuwashwa ni nini ephen...😀
 
Hii mada inafaa kwa wengine pia hata kama mleta mada alishapata majibu ya kutosha!
Ingekua haina umuhimu tena mods wangeitia kufuri...!🤸
mh! sijasema haina umuhimu isipokuwa wewe umesema haunywi haoni hata mada tu haikuhusu ephen..? we hujushitukii mama!! hapa ni sawa na kuwafanyia vurugu watu hawa wazima! 2009 ulikuwa wapi kwanza...?
 
mh! sijasema haina umuhimu isipokuwa wewe umesema haunywi haoni hata mada tu haikuhusu ephen..? we hujushitukii mama!! hapa ni sawa na kuwafanyia vurugu watu hawa wazima! 2009 ulikuwa wapi kwanza...?
Wewe ndiye umetafsiri ni kuwafanyia vurugu! Lakini sio hivyo
2009 nilikua hospital najifungua binti yangu wa pili
 
Back
Top Bottom