ninywe bia gani?

ninywe bia gani?

Anza na pombe ya mnazi ili uanze kuzoea mazingira
 
Mungu wangu HARUFU...! jamaa atanuka kikwapa mdogo haja kubwa na ndogo mpaka jasho! mnazi ni khabari nyingine ati

baba kama ni hivyo sasa pombe ya nini? si bora tu ni mute!!
 
Subiri walevi wenzio wakushauriiiii mi napitaaaa
 
Back
Top Bottom