Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Mkuu huku JF michango ya Dada zetu haifanani na Muonekano wao wa halisi... Unaweza ona anaongea busara kishenzi comment za Ukweli ila ukikutana naye ni shida, Kuna wengine wanacomment kiume ume lia ukionana nao wapo Fresh kikubwa JF ni Changanyikeni ,, Walio wengi hakika hawafanani na Michango yao.... au Avatar zao kwa hiyo kuwa Makini Mkuu usije kuja kuanza kulia lia hapa.
 
Umependa kwa hisia pole ukimuona na ikawa tofauti na hisia zako fanya utaratibu wa kum-pm kwa kutuma picha yako akijiridhisha kuwa mnafanana atakurukia hewani usiutese moyo wako kwa jambo linalo wezekana mkuu
 
Kuuza kiwanja si hoja. Mie naogopa tu kale katabia kenu "WANYALU" ka kukimbilia kamba na kujining'iniza.
 
Haya mambo ya thread thread sio ishu, nenda pm mwambie "bibie nna kisalio hapa nataka nikutumie upate lunch , sijui niitume vipi mama" Mzigua90 nae ana moyo lazma moyo utalegea atakupa namba ukifanya muamala itapendeza, hadi hapo mpira upo ndani ya box. Mnakompliketisha mambo
Sasa hii thread itaishia kukupa likes tu
 
Umemaliza, nakukubali sana mrembo wewe ....
 
Dah ngoja nifanye hivyo we ni genius kabisa shikamoo
 
[emoji144] [emoji102] [emoji26] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji173] [emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…