Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Mkuu huku JF michango ya Dada zetu haifanani na Muonekano wao wa halisi... Unaweza ona anaongea busara kishenzi comment za Ukweli ila ukikutana naye ni shida, Kuna wengine wanacomment kiume ume lia ukionana nao wapo Fresh kikubwa JF ni Changanyikeni ,, Walio wengi hakika hawafanani na Michango yao.... au Avatar zao kwa hiyo kuwa Makini Mkuu usije kuja kuanza kulia lia hapa.Ndondondo si churururu ! Ndivyo ilikuwa nianza kwa kupenda michango yake iliyopevuka iliyosheheni mapenzi ya kweli na nia ya utulivu uso kifani,Taratibu dozi ikaanza kuniingia lahaula la kwata nikajaa nikawa bingwa wa kufua tilia post za ke kuliko hata navyofuatilia za mshana jr ,deo msando na gudume .
Najileta kwenu waungwana mninusulu kwani nishaona dalili kuwa mzigua90 ataninyanyasa sana kwani mtizamo wake juu ya mahusiano ni hasi na ni dhahili ni mtu mtemi asieshaulika ,na ukiweka na kauzigua (Tanga ndo yalikozaliwa) mimi mnyalu wa watu najiona nikiuza kiwanja cha urithi.
Nafwaa wajameni.