Ameeeeeeèen mama. Kama asipoelewa huu ushauri basi tena.Haya mambo ya thread thread sio ishu, nenda pm mwambie "bibie nna kisalio hapa nataka nikutumie upate lunch , sijui niitume vipi mama" Mzigua90 nae ana moyo lazma moyo utalegea atakupa namba ukifanya muamala itapendeza, hadi hapo mpira upo ndani ya box. Mnakompliketisha mambo
Sasa hii thread itaishia kukupa likes tu
Ndo ufanye hivyo sasa babyDah ngoja nifanye hivyo we ni genius kabisa shikamoo
Bujibuji mchungaji naona wape vitu watakeuelwa tu na uwatoe mapepoYakobo : Mlango 1
14 Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.
Xyz ikithibitishwa unipunguzie, namba angu ile ileAmeeeeeeèen mama. Kama asipoelewa huu ushauri basi tena.
Mpendwa hii njia inatiki we nipe kabisa advance, atakaechomoa hii sijui nani mi mwenyewe sichomoki huu mtego.Mpendwa unauhakika hii njia itatick nikutangulizie Advance payment kabisa
Shemeji mwenyewe mara aseme anatetemeka asije kuwa Sabri tuNdo ufanye hivyo sasa baby
Ngoja nijaribu basi..Wewe ulivyo gaidi..Mtu atapigwa pesa na kulishwa bloku kila sehemuMpendwa hii njia inatiki we nipe kabisa advance, atakaechomoa hii sijui nani mi mwenyewe sichomoki huu mtego.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukikubaliwa usinisahau kwenye ufalme wako
hahahahaaWatu wa Tanga usiwaamini sana, utarushiwa jini sijui utakuwa mgeni wa nani[emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]
Ndondondo si churururu ! Ndivyo ilikuwa nianza kwa kupenda michango yake iliyopevuka iliyosheheni mapenzi ya kweli na nia ya utulivu uso kifani,Taratibu dozi ikaanza kuniingia lahaula la kwata nikajaa nikawa bingwa wa kufuatilia post zake kuliko hata navyofuatilia za mshana jr ,deo msando na gudume .
Najileta kwenu waungwana mninusuru kwani nishaona dalili kuwa mzigua90 ataninyanyasa sana kwani mtizamo wake juu ya mahusiano ni hasi na ni dhahiri ni mtu mtemi asieshaurika, na ukiweka na kauzigua (Tanga ndo yalikozaliwa) mimi mnyalu wa watu najiona nikiuza kiwanja cha urithi.
Nafwaa wajameni.
Wanaume kama wewe ndo nawapendaTatizo la vijana siku hizi mnataka shortcut sana. Huku tunaita uoga uliokithiri. Kwann usimtafute bila kutoa thread? Hii thread ilifaa iandikwe hivi.
Nashukuru ndoto yangu ya siku nyingi imetimia. Huyu mwanamke niliona mchango wake JF nikatokea kumpenda na hatimaye ndoa yetu itafungwa tarehe 2 feb 2018. Kadi za harusi zipo kwa mawasiliano zaidi 071xxxxxxxxx
Ndo kutake risk huko jamaniHivi kwanini sisi Wanaume Tunapenda Penda Hovyo Watu Tusio Wajua? Wewe Limtu Hulijui Hujawahi Liona Wala Kulisikia Sauti Afu Unajikuta Tu Unalipenda Khaaaa! Utapenda Majini Mzee Baba.
Evelyn Salt ni nani?mbona nipo, nipe link basi
Maneno mengi yanachosha, maneno ya kuvunjia mifupa ni xyz imethibitishwa
kakimbia [emoji2][emoji2]Tupo au kakimbia?
Utanikosesha mchumba wewe.Hahaha itabidi Jamaa ajiandae kiakili.