Niombeeni ndugu zangu, nina ugonjwa wa ajabu

Nipo South Africa siku ya tatu hii. Nlikuwa narudi toka China. Nikiwa kwenye ndege First Class nikaenda wash room ndo nikagundua nimetokwa na kipele(pimple) kwenye mkono.

Niliomba nishushwe South Africa wakanifanyie check up na surgery ikiwezekana. Maana naona kama kinaharibu mwonekano wangu.

Ni kikubwa. Kama punje ya ulezi hivi. Actually hakina maumivu wala muwasho. Dr. Has told me (huyu specialist wa magonjwa ya ngozi hapa South Africa) kuwa ni allergy tu.

Nikakumbuka kule China nilikuwa Hotel moja ilikuwa na chakula maalum cha baharini. Ile menu ilikuwa inauzwa kwa bei ya chini kabisa Usd 4,500.

Inawezekana moja ya wale samaki ndiye alinisababishia allergy. Sasa nilimjulisha Mzee. Alinikasirikia sana kuwa naendaje China bila Dr. Wangu. Actually nimekuwa nikijaribu kuishi maisha kama ya watu wengine ila mzee hataki kabisa.

Anataka nikiwa naenda sehemu niende na Dr. Mwanasheria,Secretary,Mpishi na Mhudumu binafsi.

Sometimes naona hii ni kama kujiweka hadharani kuwa nina vijicent jambo ambalo si sawa. Napenda kuishi tu maisha simple. Na amelalamika kuwa why nimeenda kutibiwa South Afrika wakati Madkatari wa familia yetu wapo USA?

Tatizo la Mzee hawaamini kabisa watu wa Africa. Toka siku ambayo aliensa Barber shop moja akawaambia wamnyoe nywele style flani wakakosea kidogo basi hana imani kabisa na professionals wa Afrika.

Sasa huu mgogoro umeanzia last week aliponiuliza Dereva wangu yupo wapi maana aliniona naendesha gari peke yangu kwenda Bagamoyo.nikamwambia anaumwa mafua amelazwa Aga Ghan wanamwangalia kwa ukaribu. Akaniuliza ya wapi nikamwambia ya hapa hapa Dar.

Alifoka sana kuwa inakuaje Dereva anaumwa analazwa Aga Khan Zahanati. Nikamwambia ni Hosp akawa mbogo na kuuliza namlipa tsh ngapi. Kwa kweli Dereva wangu nikiri kuwa namlipa tsh 15,000,000 kwa mwezi. Ila namsomeshea watoto wa ndugu zake wote shule ya International School ya Feza.

Na watoto wake wa 4 namsomeshea IST. Namlipia kodi ya nyumba hapa Oysterbay na kila mwisho wa mwezi namfanyia shopping. Mzee analaumu kuwa nimeanza kuwa mbahili. Kwanza namtibu Dereva Zahanati, pili namlipa kamshahara kadogo so anaweza akawa ananiendesha huku ana mawazo.

Sasa kumwambia natibiwa South Afrika yeye anaamini ni sababu nabana matumizi..kumbe siyo. Napenda niishi maisha simple tu kama watanzania wengine maskini. South Africa si mbaya kwa huduma ya Afya.

Sasa hili la hii chunusi limemtibua kabisa. Anataka nichague kuishi katika nyumba zetu za China,Canada,Sweden,Belgium,USA,Uk,Russia,Germany,Switzerland,Norway,Egypt au South Africa.

Namkatalia sababu hayo majumba ni makubwa sana mtu unaishi kwenye nyumba ambayo Rais wa hizo nchi husika akiwa na mawazo au amechoka anakuja kuomba kwetu akapumzike sehemu za nyumba zetu hizo. Wengi wanadai ni nyumba zaidi ya Ikulu za marais wa nchi hizo.

Maisha hayo ya upweke na kujikuta nimezungukwa tu na wafanyakazi mabint warembo bikra ambao wapo tayari kunipa huduma yoyote nitakayo. Maisha hayo yananishinda. Naona bora nije kujifunza maisha magumu na ya maskini wanaokaa huku Oysterbay.

Mniombee ndugu zangu mzee anielewe. Afahamu hata huku Afrika kuna maisha. Siyo walimvyokosea yeye huko kwa kinyozi basi ndo maisha yote wapo hivyo. Pia mniombee haka kakipele kapone maana naona kananipa mwonekano mbaya. Actually nikivaa shati la mikono mirefu hakaonekani but sijisikii tu comfortable kuwa na pimple.
Amka sasa uwahi daladala upesi
 
Sawa zingatia mambo haya.
1. Leta mwanasheria wako
2. Daktari wako toka siku umezaliwa na mafaili yako(taarifa yako ya afya)
3. Niandikie Insha unapenda kuwa nani kurasa 3 tu
4. Historia ya ukoo wenu vizazi viwili nyuma.
5. Niandikie pia unapenda kuishi sehemu gani duniani pages 2 tu.
6. Elimu yako na shule ulizosoma ili kama si international Class 1.(executive schools) ukaanze kusoma upya.
7. List ya majina na ndugu zako na kazi zao.
8. Maeneo ambayo umewahi ishi na nchi ambazo umetembelea.
9. Kawaida ya milo yako kwa siku na mpishi wako aelezee kwa nini amekuwekea ratiba hiyo
10. Kama umewahi fanya kazi malipo yako yalikuwa tsh ngapi. Ili nione kama nawe utakuwa mmoja ya wale ambao nawasaidia wameathirika kisaikolojia kwa kupokea mshahara chini ya Mil 10 kwa mwezi.
Hii nchi ukifa na stress, lazima Mungu akakuongeze adhabu.
 
@kidukulilo
Njoo mkuu kuna mpwa wako huku

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Wewe ni mdogo wake kiduku?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Kiduku lilo karudi [emoji3][emoji3]

Sema leo kasahau kututajia magari [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bill Lugano ndio Kiduku Lilo mwenyewe aliwahi kuweka uzi kwanini ameamua kubadilisha jina.

Nipo South Africa siku ya tatu hii. Nlikuwa narudi toka China. Nikiwa kwenye ndege First Class nikaenda wash room ndo nikagundua nimetokwa na kipele(pimple) kwenye mkono.

Niliomba nishushwe South Africa wakanifanyie check up na surgery ikiwezekana. Maana naona kama kinaharibu mwonekano wangu.

Ni kikubwa. Kama punje ya ulezi hivi. Actually hakina maumivu wala muwasho. Dr. Has told me (huyu specialist wa magonjwa ya ngozi hapa South Africa) kuwa ni allergy tu.

Nikakumbuka kule China nilikuwa Hotel moja ilikuwa na chakula maalum cha baharini. Ile menu ilikuwa inauzwa kwa bei ya chini kabisa Usd 4,500.

Inawezekana moja ya wale samaki ndiye alinisababishia allergy. Sasa nilimjulisha Mzee. Alinikasirikia sana kuwa naendaje China bila Dr. Wangu. Actually nimekuwa nikijaribu kuishi maisha kama ya watu wengine ila mzee hataki kabisa.

Anataka nikiwa naenda sehemu niende na Dr. Mwanasheria,Secretary,Mpishi na Mhudumu binafsi.

Sometimes naona hii ni kama kujiweka hadharani kuwa nina vijicent jambo ambalo si sawa. Napenda kuishi tu maisha simple. Na amelalamika kuwa why nimeenda kutibiwa South Afrika wakati Madkatari wa familia yetu wapo USA?

Tatizo la Mzee hawaamini kabisa watu wa Africa. Toka siku ambayo aliensa Barber shop moja akawaambia wamnyoe nywele style flani wakakosea kidogo basi hana imani kabisa na professionals wa Afrika.

Sasa huu mgogoro umeanzia last week aliponiuliza Dereva wangu yupo wapi maana aliniona naendesha gari peke yangu kwenda Bagamoyo.nikamwambia anaumwa mafua amelazwa Aga Ghan wanamwangalia kwa ukaribu. Akaniuliza ya wapi nikamwambia ya hapa hapa Dar.

Alifoka sana kuwa inakuaje Dereva anaumwa analazwa Aga Khan Zahanati. Nikamwambia ni Hosp akawa mbogo na kuuliza namlipa tsh ngapi. Kwa kweli Dereva wangu nikiri kuwa namlipa tsh 15,000,000 kwa mwezi. Ila namsomeshea watoto wa ndugu zake wote shule ya International School ya Feza.

Na watoto wake wa 4 namsomeshea IST. Namlipia kodi ya nyumba hapa Oysterbay na kila mwisho wa mwezi namfanyia shopping. Mzee analaumu kuwa nimeanza kuwa mbahili. Kwanza namtibu Dereva Zahanati, pili namlipa kamshahara kadogo so anaweza akawa ananiendesha huku ana mawazo.

Sasa kumwambia natibiwa South Afrika yeye anaamini ni sababu nabana matumizi..kumbe siyo. Napenda niishi maisha simple tu kama watanzania wengine maskini. South Africa si mbaya kwa huduma ya Afya.

Sasa hili la hii chunusi limemtibua kabisa. Anataka nichague kuishi katika nyumba zetu za China,Canada,Sweden,Belgium,USA,Uk,Russia,Germany,Switzerland,Norway,Egypt au South Africa.

Namkatalia sababu hayo majumba ni makubwa sana mtu unaishi kwenye nyumba ambayo Rais wa hizo nchi husika akiwa na mawazo au amechoka anakuja kuomba kwetu akapumzike sehemu za nyumba zetu hizo. Wengi wanadai ni nyumba zaidi ya Ikulu za marais wa nchi hizo.

Maisha hayo ya upweke na kujikuta nimezungukwa tu na wafanyakazi mabint warembo bikra ambao wapo tayari kunipa huduma yoyote nitakayo. Maisha hayo yananishinda. Naona bora nije kujifunza maisha magumu na ya maskini wanaokaa huku Oysterbay.

Mniombee ndugu zangu mzee anielewe. Afahamu hata huku Afrika kuna maisha. Siyo walimvyokosea yeye huko kwa kinyozi basi ndo maisha yote wapo hivyo. Pia mniombee haka kakipele kapone maana naona kananipa mwonekano mbaya. Actually nikivaa shati la mikono mirefu hakaonekani but sijisikii tu comfortable kuwa na pimple.
Ukiboresha kidogo itafaa kuandikia script ya muvi za kihindi au kinaijeria
 
Back
Top Bottom