Niombeeni ndugu zangu, nina ugonjwa wa ajabu

bado unaota au tayr

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kujua wabongo tuna chuki, wivu, roho mbaya, ujuaji, Ujinga na roho za kimasikini pitia comment humu ndio utajua tabia za kiswahili

Tajiri mwenye Pesa na akili zake kutubust kisaikolojia japo tuamke still watu wanaendeleza mambo Yale Yale ambayo tunapinga humu Kila siku,

Wabongo tuna roho za kimasikini sana imagine Bill Lugano the Kidukulilo hayo anayotupostia humu ingekua kweli na picha akaweka daaa imagine

Yaani hapo hua anakuja na maandiko TU watu wanapata makasiriko na presha siku ikatokea mtu kweli akawa na maisha hayo na tunaona live

Si Sitakufa wajameni?
😁😁😁😁
 
hapo kwenye bagamoyo ndio nikastuka hayo maisha ni ya sasha obama labda nae hana mda wa kuzurura na masiredi marefu hivi.
 
Cc @kidukulilo naona umekuja na account mpya
 
Dereva unamlipa 15M kwa mwezi? Huyo dereva anaishije Sasa kwa mshahara huo mdogo kiasi hicho? Ni lini Ataweza hata kununua private jet yake ya kusafiri na familia akitaka kwenda SA weekend na kurudi

Japo sina hela lakini najibana sana dereva wangu simlipi chini ya 60M kwa mwezi, na ninahakikisha kila siku anapata posho ya 1.5M
Acha kunyanyasa madereva kama huwezi kiwalipa bora uendeshe mwenyewe 15M kwa mwezi siyo haki ni unyanyasaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…