Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Nina nyimbo za kila aina. Unataka za aina gani? Unataka za kisasa za akina Bahati Bugalama, Kisima Nyanda Majabala, Budagala, Elizabeth Maliganya, Ng'wanakang'wa; na wengineo au unataka za kizamani za Bagika na Bagalū akina Shangata, Kamongo, Pilipili, Nīndwa, Chūlichūli, Walaga, Ng'wanamashishani na Ng'wanagīsanga? Naweza kukuwekea hapa laivu kabisa tena sasa hivi! 🙏🏿ooh! Sawa mkuu. Lakini kuna uzi flani hivi, unahusu kwa nini waganga wa kienyeji huzikwa wakiwa wamekaa,ulieleza vema sana,ukapost na nyimbo mbili za mamanju wa ntuzu nikazipenda, mpaka leo huwa nahtaj sana nyimbo za namna ile lakn nishagonga mwamba,ndo mana nahtaj namba yako angalau,unipatie hzo mkuu.
Sawa mkuuKwanza kabisa Hongera kwa hilo maana unaenda kuleta amani mahala ambapo amani imepotea Malaika wa Bwana wakutangulie,ila kumbuka kufanya kile kilicho ndani ya uwezo wako ambacho hakipo ndani ya uwezo wako achana nacho kwa maana no one Can save the world by him self,tatu kumbuka huku unapo ondoka unaacha the one who loves kwahiyo usiporudi na kurudi mwili pekee bila your soul they will miss you.
Kila la kheri kamanda.
Mkuu ningependa kufahamu, mnaenda kwa 'mwamvuli' gani, wa UN, SADAC ama EAST AFRICA?Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Kuna haja ya kuja kuaga huku JF.
Una mihemko mkuu
za kizamani mkuuNina nyimbo za kila aina. Unataka za aina gani? Unataka za kisasa za akina Bahati Bugalama, Kisima Nyanda Majabala, Budagala, Elizabeth Maliganya, Ng'wanakang'wa; na wengineo au unataka za kizamani za Bagika na Bagalū akina Shangata, Kamongo, Pilipili, Nīndwa, Chūlichūli, Walaga, Ng'wanamashishani na Ng'wanagīsanga? Naweza kukuwekea hapa laivu kabisa tena sasa hivi!
Kama unakubali nikuoe karibu na utaje mahari yako hadharani.Haiwezekani?
Hiki ni kizazi cha 2000 huku na kuendelea. Mwanajeshi aliyepikwa vizuri na mwenye maadili hasa ambaye amekula kiapo na anayelijua vizuri jukumu lake la kufa au kupona akilinda nchi yake hawezi kuja kuanza kulia lia; na kuaga mitandaoni humu. Ni kinyume na wito wa kazi yake; and it is a sign of bad omen....Kama operation ilikuwa ya siri sasa umeiweka hapa dhwahiri M23 wanaona punguzeni sifa kwenye mambo mazito ya usalama wako!
Nchi imezalisha vijana wa hovyo sana!Hiki ni kizazi cha 2000 huku na kuendelea. Mwanajeshi aliyepikwa vizuri na mwenye maadili hasa ambaye amekula kiapo na anayelijua vizuri jukumu lake la kufa au kupona akilinda nchi yake hawezi kuja kuanza kulia lia; na kuaga mitandaoni humu. Ni kinyume na wito wa kazi yake; and it is a sign of bad omen....
Ulicho kiandika unadhihirisha wewe ndo unaye payuka hapa. Kama hujui kitu ni Bora ukanyamaza maana umeshindwa kusoma between the line aliyeomba kuombewa amejaa na uwoga ndo maana ana wasiwasi hana lingine la kufanya ndo maana nimempa option either aende akauwawe au akaue maamuzi ni ya kwake. Sasa wewe unakurupuka tu nakuandika ujinga hapaMission za hivi huwa ni siri hawapayukipayuki kama hivi, wewe sio muhusika. Umesikia ukaandika
Wao wanaenda kupigana kwa faida ya raia wa Tz pia.Ndio, lazima atuage.
Unapelekwaje vitani kimya kimya, kufa kwa ajili ya ma bifu ya manchi mengine ?
Tanzanian military should not inject itself in foreign wars without provocation and without approbation of the Tanzanian people.
Aminia sana..Hahahahaha 121.
Mungu akutangulie, zingatoa, sala muhimuWakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Ameapa kufa na kupona kulinda nchi yake ipi ?ambaye amekula kiapo na anayelijua vizuri jukumu lake la kufa au kupona akilinda nchi yake hawezi kuja kuanza kulia lia; na kuaga