Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

ooh! Sawa mkuu. Lakini kuna uzi flani hivi, unahusu kwa nini waganga wa kienyeji huzikwa wakiwa wamekaa,ulieleza vema sana,ukapost na nyimbo mbili za mamanju wa ntuzu nikazipenda, mpaka leo huwa nahtaj sana nyimbo za namna ile lakn nishagonga mwamba,ndo mana nahtaj namba yako angalau,unipatie hzo mkuu.
Nina nyimbo za kila aina. Unataka za aina gani? Unataka za kisasa za akina Bahati Bugalama, Kisima Nyanda Majabala, Budagala, Elizabeth Maliganya, Ng'wanakang'wa; na wengineo au unataka za kizamani za Bagika na Bagalū akina Shangata, Kamongo, Pilipili, Nīndwa, Chūlichūli, Walaga, Ng'wanamashishani na Ng'wanagīsanga? Naweza kukuwekea hapa laivu kabisa tena sasa hivi! 🙏🏿
 
Kwanza kabisa Hongera kwa hilo maana unaenda kuleta amani mahala ambapo amani imepotea Malaika wa Bwana wakutangulie,ila kumbuka kufanya kile kilicho ndani ya uwezo wako ambacho hakipo ndani ya uwezo wako achana nacho kwa maana no one Can save the world by him self,tatu kumbuka huku unapo ondoka unaacha the one who loves kwahiyo usiporudi na kurudi mwili pekee bila your soul they will miss you.
Kila la kheri kamanda.
Sawa mkuu
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Mkuu ningependa kufahamu, mnaenda kwa 'mwamvuli' gani, wa UN, SADAC ama EAST AFRICA?

Majibu utakayonipatia, ndiyo nitashauri cha kufanya mkifika huko.

Nimepigana vita vya Kagera na Msumbiji mtawalia.

Kuna mbinu mahsusi ninazifahamu za kudeal na aina hiyo ya adui.
 
Kuna haja ya kuja kuaga huku JF.
Una mihemko mkuu

Ndio, lazima atuage.

Unapelekwaje vitani kimya kimya, kufa kwa ajili ya ma bifu ya manchi mengine ?

Tanzanian military should not inject itself in foreign wars without provocation and without approbation of the Tanzanian people.
 
Nina nyimbo za kila aina. Unataka za aina gani? Unataka za kisasa za akina Bahati Bugalama, Kisima Nyanda Majabala, Budagala, Elizabeth Maliganya, Ng'wanakang'wa; na wengineo au unataka za kizamani za Bagika na Bagalū akina Shangata, Kamongo, Pilipili, Nīndwa, Chūlichūli, Walaga, Ng'wanamashishani na Ng'wanagīsanga? Naweza kukuwekea hapa laivu kabisa tena sasa hivi!
za kizamani mkuu
 
Bila kuwafuata hadi Rwanda ambapo ndipo wanapokimbiliaga itakuwa ni kazi bure.., hao ni watoto wa Ufaransa na Kagame ndiye mlezi…
 
Kama operation ilikuwa ya siri sasa umeiweka hapa dhwahiri M23 wanaona punguzeni sifa kwenye mambo mazito ya usalama wako!
Hiki ni kizazi cha 2000 huku na kuendelea. Mwanajeshi aliyepikwa vizuri na mwenye maadili hasa ambaye amekula kiapo na anayelijua vizuri jukumu lake la kufa au kupona akilinda nchi yake hawezi kuja kuanza kulia lia; na kuaga mitandaoni humu. Ni kinyume na wito wa kazi yake; and it is a sign of bad omen....
 
Hiki ni kizazi cha 2000 huku na kuendelea. Mwanajeshi aliyepikwa vizuri na mwenye maadili hasa ambaye amekula kiapo na anayelijua vizuri jukumu lake la kufa au kupona akilinda nchi yake hawezi kuja kuanza kulia lia; na kuaga mitandaoni humu. Ni kinyume na wito wa kazi yake; and it is a sign of bad omen....
Nchi imezalisha vijana wa hovyo sana!
 
Mission za hivi huwa ni siri hawapayukipayuki kama hivi, wewe sio muhusika. Umesikia ukaandika
Ulicho kiandika unadhihirisha wewe ndo unaye payuka hapa. Kama hujui kitu ni Bora ukanyamaza maana umeshindwa kusoma between the line aliyeomba kuombewa amejaa na uwoga ndo maana ana wasiwasi hana lingine la kufanya ndo maana nimempa option either aende akauwawe au akaue maamuzi ni ya kwake. Sasa wewe unakurupuka tu nakuandika ujinga hapa
 
Ndio, lazima atuage.

Unapelekwaje vitani kimya kimya, kufa kwa ajili ya ma bifu ya manchi mengine ?

Tanzanian military should not inject itself in foreign wars without provocation and without approbation of the Tanzanian people.
Wao wanaenda kupigana kwa faida ya raia wa Tz pia.

Labda nikuuluze swali ambalo jibu lake litakupatia mwanga kidogo kuhusu faida yake.

Ukiwa na jirani mkorofi, mshari, mgomvi sana, leo kaja kutinga nyumbani kwako, umemsikia tu anatukana kishari, lakini kabla hajaingia ndani kwenye compound yako, ni maamuzi gani ya haraka unayoweza kuyachukua ili asijekuingia ndani na kukusababishia hasara kubwa?

Kama jibu litakuwa ni kumfuata huko huko nje ili mkamalizane, basi jibu hilo ndiyo mfano wake hutumika kumfuata adui aliye nje ya mipaka ya nchi kwenda 'kufanyiziana' naye huko huko ili kuhami maisha na ustawi wa raia wetu.
Pamoja na madhumuni ya jeshi uliyoyataja kwa kimombo, lakini kumbuka kuwa nchi nyingi za kusini ya mipaka ya Tz, ukombozi wa nchi zao, umepatikana kwa majeshi ya Tz kujiinguza moja kwa moja kijeshi ama kuwafadhili na kuwapa hifadhi wapigania uhuru wa mataifa hayo.
 
Kivuhalisia chanzo cha mgogoro sio madini madini ni sababu ya pili, sababu kuu ni asili kipindi cha mauji ya kimbali kuna warwanda walikimbilia kongo sasa wakazaliana uko adi leo, na apo ndo inakuja ishu ya madini koz wanao ishi maeneo hayo asilimia kubwa inaonekana sio wakongo halisi na wana nufaika na interest ya wakongo, wanacho pigana wakongo na kuchukua maeneo yao na kuwa timua watu wote watus wenye asili ya rwanda anacho fanya kagame ni kuwalinda waendelee kubaki io ndo uhalisia wa iyo vita. Ndo maana kuna maeneo m 23 wakichukua wanaweka serikali yao sheria zao

View: https://youtu.be/izCbExKbMYo
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Mungu akutangulie, zingatoa, sala muhimu
 
Miaka ya themanini wakati TZ inaisaidia Frelimo dhidi ya waasi RENAMO, Siku moja msafara wa Jeshi kutokà TZ baada ya kusafiri kwa Siku kadhaa walipumzika porini, kumbe wameuzwa, taarifa za kupumzika pale zimepelekwa kwa waasi mapema, na wale waasi walikuwa wanawasubiria pale wakiwa kwenye mahandaki,

Wakati wanapumzzika walitoka kwenye magari yao kwa ajili ya chakula na kutembea tembea, ghafra walishangaa risasi zinamwagwa Kama mvua toka kila upande, njia pekee ni kujificha kwa kupotea ghafra!, japo mwisho wangetekwa tu sababu walisha zungukwa.

Askari mmoja aliyekuwa ameokoka, alikuwa anaendesha kifaru alikipaki chini ya mti mkubwa, na kifaaru chenyewe kilipambwa na miti hivyo kuwa Kama kichaka, yeye alikuwa Kama mita 100 toka kwenye kifaru, askari wenzie walipojificha alijua watakamatwa tu, akaamua kukimbilia kifaru chake, kwa hiyo yeye peke yake akawa anakimbia anaonekana na wale waasi, na ni sehemu ya wazi, hivyo risasi zote za waaasi zikaelekezwa kwake, kumbuka watu zaidi ya 100 wanamwagia risasi mtu mmoja, hakuna iyompata.

Alipoufikia ule mti aliurukia na kudumbukiq ndàni yaa kifaru, mlango wa kifaru ni tundu lipo juu, waasi waliukausha ule mti kwa risasi kwa sekunde chache. Ikawa ni zamu yao kushangaa kuonà kichaka kinatembea, wote waligeuzwa vipande vya nyama. Ndio akaanza kuchomoka askari mmoja mmoja alikojificha,, na kushangaa jamaa alikwepaje risasi, YESU YUPO HAI
 
ambaye amekula kiapo na anayelijua vizuri jukumu lake la kufa au kupona akilinda nchi yake hawezi kuja kuanza kulia lia; na kuaga
Ameapa kufa na kupona kulinda nchi yake ipi ?

Acha uongo! Tanzania haiko vitani.

M23 militia IS NOT invading Tanzania. Tanzania should stop provoking hostilities with waring parties in neighboring states.

Abuse of discretion and authority in sending our young men and women in harm's way must end.
 
Anagalau muwe na droni kama zile za ukraine, natamani kuwapo katika iyo convoy natamani kumwaga mtu ubongo
 
Back
Top Bottom