Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
You're going to be a cannon fodder
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Tupo wengi humu!
Our MOTTO is "WWW!"
1-'W' = WHISKY
2-'W'= WOMEN
3-'W'=WAR
 
JWTZ NAWAAMINIA!💪💪💪👍
 
Hofu ya nini mkuu au ulifata ajira tu jeshini any way njoo na pesa Pm nikupe dawa
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Hizo nafasi huwa mnazililia na hata kwenda kwa waganga.

Ukirudi salama una Milioni zako zisizopungua 25 kulingana na rank yako.

Ukirudi kwenye jeneza familia yako itakunja hela ndefu zaidi ya hizo.

Najua wewe huendi maana nakujua ni bodaboda hapo mivinjeni, ila uliamua kunogesha kijiwe cha JF
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Best wishes kamanda, sacrifice is also a pillar of God , be strong mentally and fearless
 
Hata huyo mganga aliekamatwa na fisi naona atakuwa vizuri sema anashikiliwa police.
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Nyie si mnalipwa mishahara kwa kazi iyo.
Kila la kheri Mzee
 
then tanzania ilipata faida gani baada ya kusaidia
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Mnaacha kusaidia kuondoa utawala wa kifisadi na kidhalimu hapa nchini mnaenda DRC na kimbelembele cha kuwaondoa M23 ambao wanapigana na serikali yao kutafuta haki. Halafu unasema tukuombee? Uko sawa kichwani wewe na hao wanaokutuma?
 
Usikae mbele sana wala nyuma sana kila la kheri mapigano mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…