kapinandemanga
Member
- Aug 5, 2020
- 48
- 85
UZALENDOWakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Nenda uwapelekee moto ushindi ni hakikaWakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Haiwezekani?Kwenda DRC mkuu,unamuoa vipi mwanaume mwenzio
Kama alisema hivo Atubu kabla hajaenda! afanye toba ya kweli! Vinginevyo anaweza ikiwa ndio mara yake ya mwisho kuona jua likichomozaWait...tukuombee kwa nani sio wewe ulisema umegundua MUNGU na shetani hawapo
Fanya yote ila usife tu huko pambana urudi hata na kilema ila usifeWakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Unawachelewesha watoto shule amkaUrudi salama.Mungu akutangulie. Ila ukiona hali ni mbaya kimbia 😜
Waache tu wachelewa wakutane na mtaala mpya 😅Unawachelewesha watoto shule amka
Mwanajeshi hatakiwa kukimbiaUrudi salama.Mungu akutangulie. Ila ukiona hali ni mbaya kimbia 😜
katika moja ya watu ninaowakubali humu jf ni wewe mkuu,unajua mambo mengi mno (hasa ya jadi), naweza kupata mawasiliano yako.Ungesema mapema tungeonana nikupe "code" moja nzuri sana kutoka Būbale Ntuzu. Yaani hata kombania yako yote ingekuwa ambushed na kuangamizwa wewe ungebaki.
Kwa sasa mtegemee Mungu. Sali kila siku. Soma Neno kila inapowezekana na stay positive. Kila la heri!
sisi kama taifa,tumejiunga na jumuiya ya EAC,na hii jumuiya inataka kila nchi wanachama, itoe wanajeshi wake kwenda kulinda amani sehemu yenye machafuko ndani ya jumuiya,na mission huwa ni siri mno ila mr. gunner shoot kavujisha siri za jeshi.Kila la heri mkuu japo sijawahi kujua sisi tunapigana hiyo vita kwa maslahi ya nani? Au tunalipwa kulinda Mabeberu huko? Au tunafanya msaada wa kibinadamu tunawalinda majirani zetu wakongomani wanaoteswa na makundi ya kigaidi?
Mimi ni mwalimu kwa hiyo nashindwa kupata jibu muafaka kwa wanafunzi wangu kwa sababu mimi siwezi kudanganya mwanafunzi wangu hata siku moja!
Būbale Ntuzukatika moja ya watu ninaowakubali humu jf ni wewe mkuu,unajua mambo mengi mno (hasa ya jadi), naweza kupata mawasiliano yako.
Ungesema mapema ningekuandalia hirizi toka Sumbawanga kwenye wanga.Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Ndiyo mkuu. Kijiji cha Būbale. Kwa namhala Ng'wanikanga. Mīja nogi ntale Obūbale. Nchilū Ngikūlū Ng'wanadūūba. Ukitoka hapo unakwenda Ng'waukoli huko kwa bibi Kwangū Ng'wanajibembesele. Kwa mbwembwe zote za huku Ntuzu aisee we wacha tu.Būbale Ntuzu
Umeniwahi mkuu.Chai