Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
UZALENDO
Mungu mwema mkuu
Niaamini mtarudi salama
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Nenda uwapelekee moto ushindi ni hakika
 
Ukisikia Mlio wa Bunduki yaani ile PAAAA shukuru Mungu kwani sio ya kwako
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Fanya yote ila usife tu huko pambana urudi hata na kilema ila usife
 
Ungesema mapema tungeonana nikupe "code" moja nzuri sana kutoka Būbale Ntuzu. Yaani hata kombania yako yote ingekuwa ambushed na kuangamizwa wewe ungebaki.

Kwa sasa mtegemee Mungu. Sali kila siku. Soma Neno kila inapowezekana na stay positive. Kila la heri!
katika moja ya watu ninaowakubali humu jf ni wewe mkuu,unajua mambo mengi mno (hasa ya jadi), naweza kupata mawasiliano yako.
 
Kila la heri mkuu japo sijawahi kujua sisi tunapigana hiyo vita kwa maslahi ya nani? Au tunalipwa kulinda Mabeberu huko? Au tunafanya msaada wa kibinadamu tunawalinda majirani zetu wakongomani wanaoteswa na makundi ya kigaidi?

Mimi ni mwalimu kwa hiyo nashindwa kupata jibu muafaka kwa wanafunzi wangu kwa sababu mimi siwezi kudanganya mwanafunzi wangu hata siku moja!
sisi kama taifa,tumejiunga na jumuiya ya EAC,na hii jumuiya inataka kila nchi wanachama, itoe wanajeshi wake kwenda kulinda amani sehemu yenye machafuko ndani ya jumuiya,na mission huwa ni siri mno ila mr. gunner shoot kavujisha siri za jeshi.
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Ungesema mapema ningekuandalia hirizi toka Sumbawanga kwenye wanga.
 
Būbale Ntuzu
Ndiyo mkuu. Kijiji cha Būbale. Kwa namhala Ng'wanikanga. Mīja nogi ntale Obūbale. Nchilū Ngikūlū Ng'wanadūūba. Ukitoka hapo unakwenda Ng'waukoli huko kwa bibi Kwangū Ng'wanajibembesele. Kwa mbwembwe zote za huku Ntuzu aisee we wacha tu.

Au Tanga huko aende akapikwe kwa mzee Mbegeke. Maji yanatokota kwenye pipa eti ndiyo unaambiwa uingiemo halafu pipa linafunikwa...ukija kutoka humo si ajabu ukajikuta uko baharini. Utakayoyaona na kufanyiwa huko kamwe hupaswi kuyasema...

Misituni huko DRC wewe ni vicheko tu wakati wenzio wanapelekewa moto wa SMG - upo kama haupo, wanakuona kama huonekani. Code za Major General Mayunga hizi. Aliowaongoza kule Uganda kumfurusha Idd Amin wanafahamu.

Alaaaa!
 
Back
Top Bottom