Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

katika moja ya watu ninaowakubali humu jf ni wewe mkuu,unajua mambo mengi mno (hasa ya jadi), naweza kupata mawasiliano yako.
Asante sana mkuu. Tunayoyaandika hapa JF mara nyingi huwa hayaakisi uhalisia wetu; na mara nyingi njia kati ya nadharia na uhalisia ni ndefu. Tuendelee kuburudika tu hapa mkuu; na si vinginevyo!
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Utarudi salama, hakika utarudi
 
Meshazoea kupiga raia wasio na bunduki. Sasa umesikia huko kuna bunduki unataka uombewe. HAPANA
Hapo ukifika huko waambie M23 wajaze mapipa mawili kwa visoda
 
Utarudi salama, hakika utarudi
Wameshazoea kupiga raia wasio na bunduki. Hawa watu ukikosea hata njia ukaingia kwenye eneo ambalo hawataki, utarukishwa kichura, kujaza mapipa kwa visoda n.k Hawana msamaha
Wamesikia kuna bunduki huko, ameishiwa nguvu. Mm hata siwezi kupoteza muda maana hufunga hadi mitaa kuchapa watu ovyo kisa kuna mwanajeshi mmoja amepigwa.
 
Hapana hili sipingi,karoho ka kiburi wanako sana
 
Asante sana mkuu. Tunayoyaandika hapa JF mara nyingi huwa hayaakisi uhalisia wetu; na mara nyingi njia kati ya nadharia na uhalisia ni ndefu. Tuendelee kuburudika tu hapa mkuu; na si vinginevyo!
ooh! Sawa mkuu. Lakini kuna uzi flani hivi, unahusu kwa nini waganga wa kienyeji huzikwa wakiwa wamekaa,ulieleza vema sana,ukapost na nyimbo mbili za mamanju wa ntuzu nikazipenda, mpaka leo huwa nahtaj sana nyimbo za namna ile lakn nishagonga mwamba,ndo mana nahtaj namba yako angalau,unipatie hzo mkuu.
 
downloadfile~2.gif
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Mungu kutangulie mkuu
 
mwanajeshi tena yule makini (nimesema makini kwa vile mpaka kuteuliwa kwenda vitani si shughuli ya kitoto) hawezi kutangaza jambo nyeti kama hili,unajua jf inatumiwa na jamii ya watanzania tu? Huyu hastahili hata kwenda huko kongo anatakiwa azuiliwe na ahojiwe kwa kina, na kama hawamjui kuwa ni nani kati ya hao wanaoondoka jumanne basi kundi lote lisiende wateuliwe wengine,hao wasagwe,wateswe,mpaka wamseme huyo Gunner Shooter@ ni nani kati yao asipopatikana basi taratibu zingine za kijeshi zifuatwe. Haiwezekani taarifa nyeti,za wanajeshe waendao sehemu hatarishi wewe upo busz unatangaza eti tunaondoka jumanne.
 
Tusipoonana tena hapa if tuonane Mbinguni my dear soldier
Yote maisha
 
mwanajeshi tena yule makini (nimesema makini kwa vile mpaka kuteuliwa kwenda vitani si shughuli ya kitoto) hawezi kutangaza jambo nyeti kama hili,unajua jf inatumiwa na jamii ya watanzania tu? Huyu hastahili hata kwenda huko kongo anatakiwa azuiliwe na ahojiwe kwa kina, na kama hawamjui kuwa ni nani kati ya hao wanaoondoka jumanne basi kundi lote lisiende wateuliwe wengine,hao wasagwe,wateswe,mpaka wamseme huyo Gunner Shooter@ ni nani kati yao asipopatikana basi taratibu zingine za kijeshi zifuatwe. Haiwezekani taarifa nyeti,za wanajeshe waendao sehemu hatarishi wewe upo busz unatangaza eti tunaondoka jumanne.
Anavujisha siri kubwa kama hii, Hajui kwamba hao jamaa hata humu JF wapo.

Infact atavujisha Intel za jeshi huyu.
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Kwanza kabisa Hongera kwa hilo maana unaenda kuleta amani mahala ambapo amani imepotea Malaika wa Bwana wakutangulie,ila kumbuka kufanya kile kilicho ndani ya uwezo wako ambacho hakipo ndani ya uwezo wako achana nacho kwa maana no one Can save the world by him self,tatu kumbuka huku unapo ondoka unaacha the one who loves kwahiyo usiporudi na kurudi mwili pekee bila your soul they will miss you.
Kila la kheri kamanda.
 
Back
Top Bottom