mwanajeshi tena yule makini (nimesema makini kwa vile mpaka kuteuliwa kwenda vitani si shughuli ya kitoto) hawezi kutangaza jambo nyeti kama hili,unajua jf inatumiwa na jamii ya watanzania tu? Huyu hastahili hata kwenda huko kongo anatakiwa azuiliwe na ahojiwe kwa kina, na kama hawamjui kuwa ni nani kati ya hao wanaoondoka jumanne basi kundi lote lisiende wateuliwe wengine,hao wasagwe,wateswe,mpaka wamseme huyo
Gunner Shooter@ ni nani kati yao asipopatikana basi taratibu zingine za kijeshi zifuatwe. Haiwezekani taarifa nyeti,za wanajeshe waendao sehemu hatarishi wewe upo busz unatangaza eti tunaondoka jumanne.