Nionavyo, hakuna kinaitwa tatizo la afya ya akili bali ni umaskini wa kipato tu

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili.

Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na matitizo ya akili? Jibu ni kwamba hakuna kitu kinaitwa tatizo la afya ya akili ispokuw ni ukosefu wa fedha lazzima uchanganyiliww kama huna hela.

We mpatie hela mtu uone kama hicho mnachoita tatizla la afya ya akili kama hakiishi fasta.

Nashauri serikali ifute taasisi ya milembe ni upotevu wa pesa kwa njia ya ruzuki. In. Short milembe is null and void.
 
Brian Wilson huyu ni nguli wa mziki duniani akiongoza the beach boys ila hajawahi kua sawa kiakili maisha yake yote, licha ya pesa zake zote lakini Amekua analelewa kama mtoto
 
We umejuaje kuwa hajawahi kuwa sawa kiakili. Au wewe ndo hauko sawa kwa sababu ya umaskini wako
 
Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili.

Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na matitizo ya akili? Jibu ni kwamba hakuna kitu kinaitwa tatizo la afya ya akili ispokuw ni ukosefu wa fedha lazzima uchanganyiliww kama huna hela.

We mpatie hela mtu uone kama hicho mnachoita tatizla la afya ya akili kama hakiishi fasta.

Nashauri serikali ifute taasisi ya milembe ni upotevu wa pesa kwa njia ya ruzuki. In. Short milembe is null and void.
Umejichanganya hao wazungu na matajiri ndio wanakuwa na hizo shida huko hadi wanakuwa suicidal. We jiulize mtu kama avic alikuwa na pesa maarufu lakimi suicidal mpaka akajiua, list ni kubwa mno na ndio maana mwisho kwa sababu ya depression wanakimbilia kula madawa na kuzidi kuwa na hali mbaya.
 
Aisee inabidi chap uwahishwe milembe kwa sababu inaonekana akili Yako Haina akili. Huo ugonjwa wanaugua watu wa tabaka zote (masikini na tajiri) na Duniani kote. Wewe kutojua kuwa Ulaya Kuna vichaa hakuamanishi kuwa kweli hawapo.
 
Umejichanganya hao wazungu na matajiri ndio wanakuwa na hizo shida huko hadi wanakuwa suicidal. We jiulize mtu kama avic alikuwa na pesa maarufu lakimi suicidal mpaka akajiua, list ni kubwa mno na ndio maana mwisho kwa sababu ya depression wanakimbilia kula madawa na kuzidi kuwa na hali mbaya.
Siyo kwamba wanakuwa wanawashangaa nyie nanumaskini wenu kwamba nyie ndo mna matatizo ya afya ya akili? Mi naona maskini ndo ana tatizo la afya ya akili. Imagine mtu anakosa hata elfu 10 bank ya kukaa tu. Nadhani hata wewe huna hata laki bank. Sasa bado unajiita kwamba una afya ya akili?
 
Mi huwa nashanga watu hasa siku hizi eti mara ooh hiyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana cajangamoto ya afya ya akili.

Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho.

Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuw na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamellaaniwa na matitizo ya akili?
Jibu ni kwamba hakuna kitu kinaitwa tatizo la afya ya akili ispokuw ni ukosefu wa fedha lazzima uchanganyiliww kama huna hela.

We mpatie hela mtu uone kama hicho mnachoita tatizla la afya ya akili kama hakiishi fasta.

Nadhauri serikali ifute taasisi ya milembe ni upotevu wa pesa kwa njia ya ruzuki. In. Short milembe is null and void.

Tatizo ni kwamba, hata wenye tatizo la afya ya akili huwa hawajitambui na kwa bahati mbaya zaidi hata jamii inaweza isiwatambue.

Ukikosa hela kama sababu mojawapo, unachanganyikiwa🤔. Ingawa unasema hakuna kitu kama changamoto ya afya ya akili.

Nafikiri, vituo zaidi na watenda kazi zaidi kwa upande wa afya ya akili wanahitajika hasa kwenye nyakati hizi zenye msukosuko mkubwa wa kimaisha. Nasi tuwe tayari kupewa huduma ya kuweka afya zetu za akili.

Nako huko Ulaya:
👇
Mental health - Consilium.europa.eu

Mental health - European parliamentaly research
 
Siyo kwamba wanakuwa wanawashangaa nyie nanumaskini wenu kwamba nyie ndo mna matatizo ya afya ya akili? Mi naona maskini ndo ana tatizo la afya ya akili. Imagine mtu anakosa hata elfu 10 bank ya kukaa tu. Nadhani hata wewe huna hata laki bank. Sasa bado unajiita kwamba una afya ya akili?
Matajiri wengi huko marekani wana matatizo ya akili mara depression mara sijui ugonjwa gani ule anao kanye west na matatizo kibao. Wengi ni suicidal.
Sisi kwanza tunajutahidi sana na umasikini bado tuna furaha.
Ukipita uswaz watu wanaishi maisha ya ajabu lakini wakishakula miguu ya kuku na mihogo full shangwe.
 
Hakuna furaha kwnye umaskini ndugu yangu unajidanganya tu. Wewe hapo ulipo huwezi kula demu wa maana labda wale wanaonula k au midomo. Huwzi chukua mtu kama kajala au poshyqueen
 
Inategemea wewe furaha yako ni nini.
Kuna watu wanadhan furaha ni pombe. Kuna watu wengine furaha yao ni kusafiri.
Watu wa uswaz furaha yao vigodoro tu.
Kuna watu wana ela wanakula madem hao akina poshy queen na bado wana depression na ndilo tatizo la akili hilo.
Huko marelani ndo usiseme, watu wana magonjwa mengi sijui bipolar disorder, sijui nini na wana ela.
Ukifuatilia ni watu wangapi wamejiua huku wana milions of dollars unashangaa.
Kuna mdada mchina aliwahi kuniambia, kinachomsgangaza ni kwamba tz watu wengi ni maskn lakini wana furaha ni kama vile hawajioni kuwa ni maskni.
 
The rule is " A poor person is likely to be depressed more than a rich person". A poor person does not access all whatever she/he wishes to get like food, shelter and others. A rich person gets everything he wants ontime.
 
Back
Top Bottom