kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Sasa umebadilisha. maana wewe ulikuwa unasema unachoona kinachoitwa sijui magonjwa ya akili ni umasikini. mimi nikata nikuonyeshe kuwa si kweli hata matajiri wana magonjwa ya akili na wanajiua sana. Chukulia nchi kama japan ni mojawapo ya nchi yenye watu wenye kipato kizuri lakini ina rate kubwa ya watu kujiua ikiwa inashikilia nambari ya 48 huku tz na huu umasikini tuko namba 97.The rule is " A poor person is likely to be depressed more than a rich person". A poor person does not access all whatever she/he wishes to get like food, shelter and others. A rich person gets everything he wants ontime.
Watu wengine wanakuwa na shida ya akili ukubwani kwa sababu labda wakiwa wadogo walikosa attention ya wazazi na waliipata tu pale wakifanya matukio ya ajabu kwa mfano, kupigana shuleni, kuharibu vitu na wazazi wao wana pesa so wao wanahisi kwa kuwa mtoto anapata kila kitu basi is fine. Hawa unakuta wakiwa wakubwa wanageuka labda ma serial killer ili tu kupata attention.
Hivyo tatizo la akili lina mizizi si tu umasikini ni mambo mengi.