Nionavyo, hakuna kinaitwa tatizo la afya ya akili bali ni umaskini wa kipato tu

Wewe si tayari una matatizo ya afya ya akili inaanzaga hivo, we tayari ndugu zako wangechukua hatua
Nimemwambia huyu ana tatizo la afya ya akili kumbe na wewe umeligundua hilo?
 
Mtafilia hatu mtalshwa matango pori na wazungu hawa kila mtu akikose ajambo dogo tu tayri ana tatizo la afya ya akili. Mke akicheleweaha msosi mezani tu unawambia mke wangu una tatizo la afya ya akili. Hizi slogans za wazungu achaneni nazo
 
Hujui Dunia
 
Unapoanzisha mada uwe tayari kuitetea na kujifunza sio una copy na ku paste tu hapa
 
Wazungu ndio wanaongoza kuwa na tatizo la afya ya akili.
Wapo watu matajiri na mashuhuri wengi tu ambao wanaishi kwa madawa na vidonge vya usingizi kwa sababu ya depression ( afya ya akili)
 
Wazungu ndio wanaongoza kuwa na tatizo la afya ya akili.
Wapo watu matajiri na mashuhuri wengi tu ambao wanaishi kwa madawa na vidonge vya usingizi kwa sababu ya depression ( afya ya akili)
Madawa siyo tatizo la afya akili bali life processes. Mwisho utaswma hata kujamba no tatizo la afya ya akili
 
Sio kosa lako una uelewa mdogo kuhusu tatizo la afya ya akili
 
Huyu jamaa ni wa ku puuza,
Ni wale wanaokaza ubongo ili waendelee kubishana.
 
Kinachochanganya akili sio lazima kiwe fedha kuna
1.Ndoa,mapenzi
2.Majanga kama vile Mv Bukoba iliua familia nzima ya mwalimu mkuu wa Secondary ya Minaki mpaka yule mzee dish limeyumba
3.Negative Expectations vitu kwenda sivyo
4.Urithi
So acha kuamini umasikini ndio chanzo kuna masikini wana utulivu wa akili kuliko matajiri
 
Huwezi kuwa nan utulivu wa akili ukiwa maskini. Lazima akili ziruke if at all you are rational. Ukiwa maskini unakuwa chizi unatembea barabarani unaongea peke yako na rafiki zako wote lazima wakukimbie
 
Basi tuseme ni msongo wa umaskini tu na sii ugonjwa.
 
Huwezi kuwa nan utulivu wa akili ukiwa maskini. Lazima akili ziruke if at all you are rational. Ukiwa maskini unakuwa chizi unatembea barabarani unaongea peke yako na rafiki zako wote lazima wakukimbie
Acha ubishi wewe kesho jumamosi kutakuwa na therapy ya watu wanaopitia changamoto za afya ya kiakili Selena Hotel na tangazo linatagazwa Clouds fm sikiliza halafu fuatilia
 
Huwezi kuwa nan utulivu wa akili ukiwa maskini. Lazima akili ziruke if at all you are rational. Ukiwa maskini unakuwa chizi unatembea barabarani unaongea peke yako na rafiki zako wote lazima wakukimbie
Offcoz hiyo sababu ya umasikini kwa sasa ndio inayoongoza ila ni sababu moja na pia kuna nyingine japokuwa kukosa pesa kuna trigger vingine vingine vilete shida kwenye equilibrium ya ubongo
 
Huo ndo ukweli umasikini, madeni,mikopo, msongo wa mawazo,mikeka inachanika ,mlo pasi ndefu za counter attack kama mbuemo na wisa wa Brentford kwanini usipagawe na kudata ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…