Nionavyo Mimi: Huwezi kuwa na mwanamke mkali wasikupigie

Nionavyo Mimi: Huwezi kuwa na mwanamke mkali wasikupigie

Sio kosa la wanaokugongea ila wanawake wakali ni malaya, hata umpe kila atakacho na umtafune vizuri kitandani atatoa tu k yake nje.
Ukali wa maneno au ukali wa shepu na sura ? How many gals ambao ni wakali na wala hawana izo characteristics
 
Kama wanawake vichaa wanapewa mimba mitaani mtu yoyote kucheat anaweza kucheat awe mzuri au mbaya!


Kucheat ni Tabia ya mtu haitegemei uzuri au ubaya wake!

Cha msingi pata mtu anaejua thamani ya kutocheat na hasara za kucheat. Usiangalie kigezo cha uzuri au ubaya wa mtu kama sababu ya kucheat au kutokucheat. Utalia


All in all ishi Kwa kutegemea lolote kutoka kwa Binadamu yoyote! Ishi na mke wako ukitegemea anaweza kukucheat, kukudanganya au lolote Lile. JIANDAE Kwa VITA Muda WOWOTE!
 
Rule number 1. Usimpost mke/mpenzi wako kwenye mitandao ya kijamii.

Rule number 2.Be responsible kwa mke/mpenzi wako 100%

Rule number 3.Usimpost mpenzi/mke wako kwenye mitandao ya kijamii.

Rule number 4.dont forget rule number 1 and 2.

NB:huwezi kumridhisha mwanadamu mwenzako hvyo fanya vilivyo ndani ya uwezo wako 100%.
 
Ila mwanamke wako avumilie kinyaa cha kushea bomba la taka na shost ake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawezi kbs my dear, yaani mwanamke abaki kuwa mzuri kwa mwenzi wake na machoni pa wapenzi watazamaji tu, hivyohivyo na sisi wanaume, yanayozidi hapo ni uchafu usiosemeka, basi tu ni vile watu tumeoza nasisi.
 
Back
Top Bottom