mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,061
- 4,848
Well ila sijaenda deep kwasababu..Sijasema umekosea, maana mawazo ya mtu yanaheshimiwa hasa tunapozungumzia masuala ya uchumi. Ila nimesema, ningezungumza vizuri zaidi yako.
BADO NAULIZA HIVI ILE MAHAKAMA YA MAFISADI HAIJAANZA KAZI RASMI?
Sasa unachopinga ni kipi? Basi tuambie wewe unaejua serikali imenunua korosho kwa bei gani? Na kuhusu watu ambao hawajalipwa shida sio serikali ni viongozi wa vyama vya msingi ndio ambao wanaleta ubabaishaji hasa makatibu wa vyama vya msingi ndio maana wiki kadhaa zilizopita akatangaza kuvivunja na kuvifutia usajili baadhi ya vyama.Acha ujinga wewe, wakulima gani wamelipwa 3300? Au kusema ndio kutekeleza?
Na hata ingewa kweli wamelipwa 3300, unafikiri ni sawa thamani ya Tzs 3300 ya mwaka 2018 na ya mwaka 2019 au 2020? Kwa sababu kuna wakulima mpaka leo hawajalipwa fedha zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kama kulikuwa na rekodi ya korosho kuuzwa TSH 4000 haiwezekani bei kushuka? Hivi unafahamu sababu ya serikali kuchukua jukumu la kununua korosho. ?Kumbuka wakati huyo Magufuli ananunua korosho ya mkulima kwa bei hiyo, tayari kulikuwa na rekodi ya korosho kuuzwa kwa bei zaidi ya Sh 4000. Lazima Alaumiwe kwasabu korosho ilishuka thamani tofauti na ilivyotarajiwa.
Wakulima wengi wamelipwa 2640/= na kuna baadhi wamerudushia korosho zao hasa wale wa Newala na Naliendele-Mtwara.Sasa unachopinga ni kipi? Basi tuambie wewe unaejua serikali imenunua korosho kwa bei gani? Na kuhusu watu ambao hawajalipwa shida sio serikali ni viongozi wa vyama vya msingi ndio ambao wanaleta ubabaishaji hasa makatibu wa vyama vya msingi ndio maana wiki kadhaa zilizopita akatangaza kuvivunja na kuvifutia usajili baadhi ya vyama.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao nilipima tani kadhaa lakini nikazungushwa kwenye malipo lakini nikaamua kufuatilia mwenyewe kuanzia wilayani matokeo yake wiki tatu zilizopita pesa zangu zikaingizwa kwenye Akaunti tena kwa bei ileile ya 3300.
Tunawaomba nyie chadema kwenye msimu wa Korosho ujao korosho muje muzinunue nyie japo kwa TSH 3000 ili muwanufaishe wakulima
Acheni kuuongopea Umma.
Hongera JPM naipenda Tanzania
Aliyechukua jukumu la kununua korosho alikurupuka na ndio maana mpaka leo ameshindwa kulipa watu fedha zao, alifikiri ni sawa na biashara ya Ice cream.Kwa hiyo kama kulikuwa na rekodi ya korosho kuuzwa TSH 4000 haiwezekani bei kushuka? Hivi unafahamu sababu ya serikali kuchukua jukumu la kununua korosho. ?
Like what? ThanksBadala ya kutafakari upuuzi, you can spend time thinking different ways and approaches which can take you out from that poverty situation.
Kwani ilikuwa lazima afanye maamuzi aliyafanya? If yes Mbona mwaka uliofuwata hakurudi tena? Bad advice ndio maana mwaka uliofuwata hamkuleta jeshi tena. Ingekuwa ni wazo zuri msingeacha rudi kununua tena.Mimi ninachojali pesa yangu nimelipwa haijalishi ni lini.
Wakulima inapaswa wajilaumu wenyewe sababu wanunuzi kutoka India na Vietnam walitaka kununua korosho kwa TSH 2500 wao wakakataa kuuza wakisema bei ni ndogo wakaiomba serikali iwasaidie sasa wewe ulitaka Magufuli afanye nini?
Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.
Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.
Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.
Sera ya awamo ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.
Wazabun wa serikali wengi wanalipwa mwaka huu tangu mwaka 2015 watu wamedai mpaka wengine umauti umewakuta, hakuna asie juwa ukifanya biashara na serikal unapata faida na pia in create job ila makampuni mengi kwa sasa yameondolew na hayajalipwa pesa zao biashara zimekufa kama uwamini nenda Brela uwauliz Rtn za makampuni mengi kama kwa miaka mitano wameziona? Wengi wamedai mpaka nakampuni wamezifunga.
Biashara ka clearance agency ndio kama imekufa maana serikali imeanzisha chombo , jiulize hizi agency zinaenda wapi? Maelfu Maelfu ajira zimepotea hii sio Afya ni umasikini ktk taifa.
Mifuko ya hifadhi nikweli ilikuwa hoi ila siomifuko yote mfuko kama ppf kabla yakuwa pssf ilikuwa vizuri sana lakini leo unaambiwa wastaafu wanahaha. Kupata mafao yao hivi mtu anafuwatilia mafao yake 2yrs kweli huu niumasikini naukikuwaji wa sheria za kazi. Jambo lakushangaza wanasiasa watalipwa mafao yao haraka wakati mnyonge akihangaikia mafao mpaka anakufa kwa presha.
Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.
Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.
Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikini na wananchi watazidi kuwa masikin zaidi kiasi watu watashindwa kununua chupi hasa vijiji, sio kukosa chup ila pia nguo ita kuwa shida why mmebana sana mkasahau pia magendo hupung ukali wa maisha yes taifa hili bado ni changa na yale tunayafanya ktk sera hizi za utawala wa awamo ya Tano kama hatuto angalia vizuri basi hili taifa linarudi pale alipo tuacha Hayati baba wa Taifa.
Hili sio jibu la swali ambalo nimeuliza.Kwani ilikuwa lazima afanye maamuzi aliyafanya? If yes Mbona mwaka uliofuwata hakurudi tena? Bad advice ndio maana mwaka uliofuwata hamkuleta jeshi tena. Ingekuwa ni wazo zuri msingeacha rudi kununua tena.
Wenyewe wakija hapa watakujibu mambo ya SGR,Stigler's gorge,kujenga zahanati kila kata,elimu bure etcUmeongelea mambo mengi Ila umesahau stahiki za watumishi wa umma. Hakuna increment wala kupanda madaraja kwa kipindi cha miaka mitano. Pamoja na hayo yote bodi ya mikopo imeongeza makato kutoka % 8 mpaka% 15 nje ya mkataba ambao watu walisaini kipindi wanaomba mikopo. Pamoja na kuongezeka Kwa makato ya HESLB pia zimeongezwa faini mbalimbali kwenye ambazo zinapeleka watumishi kwenye dimbwi la umasikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mirija imekatwa pazia limeondoka machoniKumbe jamaa alikua mlamba makalio wa hapo Lumumba?!
Daah! Noma sana sasa hivi ni zamu ya Bia yetu kulamba makalio. Kila zama na kitabu chake
Ungejuwa?Hili sio jibu la swali ambalo nimeuliza.
Hawajarudia kununua kwa sababu wakulima hawajasusa kuwauzia Wahindi ila wakisusa Magufuli atanunua tena.
Hongera JPM naipenda Tanzania.
Wakati ule alikuwa mgombea Uraisi kwa tikiti ya chama chenu alikuwa msafi?Fisadi mkuu alisharudi kwny chama chake cha zamani na Mwenyekiti wa Chama akampokea huku akamsifia akisema huyu mzee wa watu ni mstaarabu sana sana na hata wkt wa Kampeni hakuwahi kunitukana.
So for the mean time hakuna wa kumshitaki kwny mahakama ile..