Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

Kuna difference ya umaskini wa nchi versus umaskini wa watu, difference ya infrastructure development (Magu) versus human development (Mkwere) ambazo zina uzito sawa japo ni vizuri nchi kuanza na Magu style, kuna athari tofauti katika political economy theories tofauti mfano kati ya socialism na capitalism! hili ni darasa la PhD level si kila mtu anaweza kuelewa!

kiufupi Socialism and Self Reliance ideology yetu ndio chanzo cha umaskini wa bongo sio Rais! nchi hii haitaendelea kamwe sababu ya kitu inaitwa Private property ( capital) versus public property, Yaani socialism discourages and punish accumulation of private property ambayo kimsingi ndio stimulus and engine ya trade and investments and industrialization, mfano the role of Bill Gates, Apple Steve Job, Amazon, Google etc katika kujazia uchumi wa US kwa pesa zitokazo nje, kinyume nasi mtu akiwa na pesa zake kidogo tu bongo mnamteka mnamtisha mnamtesa mnamfilisi mnasema ni mhujumu uchumi, ila pia kwa walio nazo wengi bongo ni hopeless and idiots, wanaua uchumi sababu wanazitoa pesa katika mznguko na kwenda kuzificha uswisi badala ya kuwekeza katika viwanda na biashara na energy na serikali inatakiwa iwasaidie kujenga miundombinu na mazingira mazuri wawekeze kwa urahisi na iwape barabara kwenda hadi viwandani kwao iwape maji na umeme usiokatika na si kuwatisha na kuwafilisi ndo maana majitu mengi yameiba yamekufa tumeyazika kwa nyimbo na mapambio ila hayakuwekeza yalificha pesa uswisi kusubiri yafe na presha one day pesa zilibaki uzunguni mtu mweusi siku ujinga unaisha na dunia inaaga!

kwanza majizi mengi bongo ni kutoka chama chetu na machache kule kwingine , majizi mengi ni majitu tunayoyapa heshma kubwa na tunayoyasifia na kuyapigia makofi na mapambio na miaka yetu si mingi ni sabini ikizidi themani yanakufa kwa presha ghafla na kuacha mabilioni ya pesa za umma katika mabenki ya uswisi pesa ambazo zingesaidia ajira ya maelfu ya watu kwahiyo mfumo (socialism) haufai bongo ila msiojua kwa undani habari hizi pigeni kelele hadi mwisho wa dunia! wengine wanaojua mengine waeleze kisayansi zaidi nimeandika kidogo tu nishachoka! ukitaka kuelewa kwa undani nilichoandika soma theories of economic growth and political economy na kitabu kimoja tu Adam Smith ‘Wealth of Nation 1776).
 
Nimekuelewa vizuri sana. Unalalamikia utekelezaji wa hizo unazoita megaprojects. Lakini ni projects ambazo zitaliletea manufaa taifa letu.
Kupanga ni kuchagua,mega project zina hatari kubwa kwa uchumi wa nchi.

Contractors ni makampuni ya kigeni,yanachukuwa pesa zote makwao tunabakia na ma monuments.

Kwa mwendo huo mzunguko wa fedha unazidi kupungua na niwazi mapato ya serikali nayo yanapungua.Ili kutimiza mega project serikali inabidi kukopa.

Laiti baadhi ya pesa za megaprojects zingetumika kama stimulus package kuwawezesha nguvu kazi miradi midogo midogo ya kilimo, ufugaji na uvuvi kwa sh Trillion 6 kwa kuwakopesha wastani wa kila mradi million 1 tugepata miradi millioni 6.endelevu kila wastani wa miaka mitatu.
 
Acha ujinga na upuuzi. Reli ya Sgr ikikamilika ni monument? Bwawa la kuzalisha umeme likianza kuzalisha umeme ni monumen?
 
Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.

Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.

Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.

Sera ya awamo ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.

Wazabun wa serikali wengi wanalipwa mwaka huu tangu mwaka 2015 watu wamedai mpaka wengine umauti umewakuta, hakuna asie juwa ukifanya biashara na serikal unapata faida na pia in create job ila makampuni mengi kwa sasa yameondolew na hayajalipwa pesa zao biashara zimekufa kama uwamini nenda Brela uwauliz Rtn za makampuni mengi kama kwa miaka mitano wameziona? Wengi wamedai mpaka nakampuni wamezifunga.

Biashara ka clearance agency ndio kama imekufa maana serikali imeanzisha chombo , jiulize hizi agency zinaenda wapi? Maelfu Maelfu ajira zimepotea hii sio Afya ni umasikini ktk taifa.

Mifuko ya hifadhi nikweli ilikuwa hoi ila siomifuko yote mfuko kama ppf kabla yakuwa pssf ilikuwa vizuri sana lakini leo unaambiwa wastaafu wanahaha. Kupata mafao yao hivi mtu anafuwatilia mafao yake 2yrs kweli huu niumasikini naukikuwaji wa sheria za kazi. Jambo lakushangaza wanasiasa watalipwa mafao yao haraka wakati mnyonge akihangaikia mafao mpaka anakufa kwa presha.

Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.

Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.

Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikini na wananchi watazidi kuwa masikin zaidi kiasi watu watashindwa kununua chupi hasa vijiji, sio kukosa chup ila pia nguo ita kuwa shida why mmebana sana mkasahau pia magendo hupung ukali wa maisha yes taifa hili bado ni changa na yale tunayafanya ktk sera hizi za utawala wa awamo ya Tano kama hatuto angalia vizuri basi hili taifa linarudi pale alipo tuacha Hayati baba wa Taifa.
Baba wa taifa alituacha mahali pazuri sana ila sisi Wa Tz ni wajinga tu kwani alituacha na assets chungu tele viwanda , mashirika, madini, mbuga za wanyama, ardhi tele,, gas, petroli, watu wa kutosha, fursa chungu mzima, n.k lakini tulishindwa wenyewe kutumia assets na kujiendeleza.
Tizama nilikuwa natafakari kuhusu siasa ninavyoona mimi siasa ni mchezo wa nafasi na akili nyingi kama una akili kidogo imekula kwako. Hebu jiulize awamu ya nne tulikuwa tunaambiwa bwana mkubwa amechukua bakuli ameruka ulaya hasa Marekani kwenda kuomba misaada lakini huku nyuma wenzake na jamaa zake wanatafuna zilizopo sina takwimu ni misaada kiasi gani alifanikiwa. Lakini awamu ya tano ameingia mchezaji kiungo mkabaji au volante huyu bwana anaziba nafasi za kufungwa na kuharibu nafasi hatari zinazotengenezwa na adui na hapo hapo akipata upenyo anaingia box to box akikuta mipira inayopita nyuma ya washambuliaji yeye anafunga hapo hapo. JPM toka aingie hajenda box to box hata USA anakusikia tu lakini misaada inazidi kuja nchini bila ya kuomba kulikoni awamu ya nne? Jibu langu ni kwamba tutafika tutakuwa maskini lakini nchi yetu itapendeza bwana kwanza hii SGR peke yake ni maendeleo makubwa. Kule kwetu Musoma kuna hospitali alianza kujenga Mwalimu ikamshinda, wakapewa kanisa ikawashinda miaka inaenda tu akaingia bwana ruksa akaondoka akaingia bwana msafi akaondoka akaingia bwana yule akaondoka hivi sasa ndio inajengwa tena almost upya.
 
Acha ujinga na upuuzi. Reli ya Sgr ikikamilika ni monument? Bwawa la kuzalisha umeme likianza kuzalisha umeme ni monumen?
Kujenga ni jambo mmoja na uendeshaji wa miradi ni jambo lingine.

Umeishajiuliza kwanini Mradi wa mwendokasi umekuwa karaha licha ya kuwa na barabara imara hakuna basi za kutosha ni mateso mwaka wa nne.

Tulishuhudia ujenzi wa Uhuru Railway yaani TAZARA.kwa zaidi ya miaka 20 hali ikoje kama si hasara kubwa ?
SGR machoni nia ni nzuri lakini je umejiandaa vya kutosha kusimamia huo mradi au ni propaganda tu?
Mabwawa ya kufua umeme ya Mtera na Kidatu ni mabwawa makubwa lakini usimamizi mbovu na poor maintenance yamepunguza uhakika wa kupata umeme ndio chanzo cha matapeli wa Songas.
Una uhakika gani kama Nyerere dam haitakuwa kuwa white elephant?
 
Kujenga ni jambo mmoja na uendeshaji wa miradi ni jambo lingine.

Umeishajiuliza kwanini Mradi wa mwendokasi umekuwa karaha licha ya kuwa na barabara imara hakuna basi za kutosha ni mateso mwaka wa nne.

Tulishuhudia ujenzi wa Uhuru Railway yaani TAZARA.kwa zaidi ya miaka 20 hali ikoje jama si hasara kubwa?
SGR machoni nia ni nzuri lakini je umejiandaa vya kutosha kusimamia huo mradi au ni propaganda tu?
Mabwawa ya kufua umeme ya Mtibwa na Kidatu ni mabwawa makubwa lakini usimamizi mbovu na poor maintenance yamepunguza uhakika wa kupata umeme ndio chanzo cha matapeli wa Songas.
Una uhakika gani kama Nyerere dam haitakuwa kuwa white elephant?
Tanzania kuna Mtibwa dam? Nenda kanyonye alafu ukimaliza njoo.
 
Kwenye swala la Korosho ni ujinga mkubwa kumlaunu Magufuli na serikali yake.
Kwa sababu wanunuzi wa Korosho walitaka kununua korosho kwa TSH. 2550 kwa kilo wakulima wakakataa kuuza wakisema bei ni ndogo wakaiomba serikali iwasaidie.
Mh Raisi akasema korosho zote zitanunuliwa na serikali kwa bei ya TSH. 3300 kwa kilo wakulima wakakubali.
Sasa hapo Magufuli munamlaumu kwa lipi? Acheni Propaganda
From. Mahuta Chikongola. Tandahimba
Acha ujinga wewe, wakulima gani wamelipwa 3300? Au kusema ndio kutekeleza?

Na hata ingewa kweli wamelipwa 3300, unafikiri ni sawa thamani ya Tzs 3300 ya mwaka 2018 na ya mwaka 2019 au 2020? Kwa sababu kuna wakulima mpaka leo hawajalipwa fedha zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe unadhani ni nani huwa anawaingiza madarakani??--- ni yule mkuu wa tume ya uchaguzi kama hujui!!!.
Wanajiweka madarakani wenyewe hao. Kwani hujasikia "nikuteue Mimi, nikupe gari Mimi, nikuwekee mafuta mimi, nikulipe mshahara Mimi, halafu umtangaze mpinzani.." Yaani hadi I aibu jinsi MTU anavyojimilikisha nchi kama urithi wa baba yake.
 
Kipi Bora sasa. Kipind cha kikwete wachache wanachota na mnyonge hafaidi au kipindi hiki ambacho kweli hali sio nzuri sn kwa maana ya pesa mifukoni mea watu lakini maendeleo ya vitu yanakuja
Ndugu yangu jifunze tu kwamba katika jamii watu hutegemeana kwamaana hata mwenye nacho anamtegemea mnyonge na hii ndo sababu ya mnyonge kujipatia pesa kutoka kwa mwenyenacho.

Lakini kama unakili kwamba enzi hizi za msukuma hakuna mjanja anayeweza kujichotea pesa za serikali na wakati huo huo haigawi pesa bure bure kwa wanyonge basi tambua kwamba idadi ya wanyonge imeongezeka. Je, kuongezeka kwa idadi ya wanyonge kuna faida gani kwa maendeleo ya nchi?

Na sijui unamaanisha nini unaposema maendeleo ya vitu yanaonekana enzi hizi za msukuma. Labda uniambaie, mathalani enzi za mkwere hakukuwa na ndege za serikali kama ilivyo sasa, je mnyonge wa enzi hizi anapata unafuu gani kutokana uwepo wa ndege hizo au SGR?
 
Stupid idea...jomba wewwe una elimu gani mzee...labda tuanzie hapo...au wewwe ni wale wazee wa elimu ya hapa na pale..unatoa hoja hujui hata reserve ya serikali ni kiasi gani, GDP ikoje, inflation iliyopo na forecast yake, productivity ikoje, market environment ikoje import na export na variable nyingine tele..embu tuambie una elimu gani
Mimi nachjua miradi inayosemwa inaendeshwa kwa fedha za ndani Ni mikopo kutoka nje tena kutoka kwenye mabenki ya kibiashara yenye riba za kiwendawazimu. Kuchunga ng'ombe sio sawa na kuendesha nchi.
 
Kwanza mtoa mada futa hicho kipengele mtu hajashinda hata uchaguzi utasemaje miaka kumi tuliza mori jakuna miaka kumi hapa.
 
We fanya kazi achana na selikari jikwamue mwenyew usaidie familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ujinga mnaowaambia. RAIA ninyi mlioko kwenye teuzi. Niingize kipato kidogo badala ya kununua sukari kilo mbili kwa 5000 nikapate kilo Moja kwa hiyo hiyo 5000.? Yeye ananunua sukari au kwa sababu analetewa tu na state? Nyie ndio wale mnaowaambia wengine wajiajiri wakati we we ukipigwa chini unakufa kwa stress.
 
Kwenye swala la Korosho ni ujinga mkubwa kumlaunu Magufuli na serikali yake.
Kwa sababu wanunuzi wa Korosho walitaka kununua korosho kwa TSH. 2550 kwa kilo wakulima wakakataa kuuza wakisema bei ni ndogo wakaiomba serikali iwasaidie.
Mh Raisi akasema korosho zote zitanunuliwa na serikali kwa bei ya TSH. 3300 kwa kilo wakulima wakakubali.
Sasa hapo Magufuli munamlaumu kwa lipi? Acheni Propaganda
From. Mahuta Chikongola. Tandahimba
Kumbuka wakati huyo Magufuli ananunua korosho ya mkulima kwa bei hiyo, tayari kulikuwa na rekodi ya korosho kuuzwa kwa bei zaidi ya Sh 4000. Lazima Alaumiwe kwasabu korosho ilishuka thamani tofauti na ilivyotarajiwa.
 
Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.

Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.

Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.

Sera ya awamo ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.

Wazabun wa serikali wengi wanalipwa mwaka huu tangu mwaka 2015 watu wamedai mpaka wengine umauti umewakuta, hakuna asie juwa ukifanya biashara na serikal unapata faida na pia in create job ila makampuni mengi kwa sasa yameondolew na hayajalipwa pesa zao biashara zimekufa kama uwamini nenda Brela uwauliz Rtn za makampuni mengi kama kwa miaka mitano wameziona? Wengi wamedai mpaka nakampuni wamezifunga.

Biashara ka clearance agency ndio kama imekufa maana serikali imeanzisha chombo , jiulize hizi agency zinaenda wapi? Maelfu Maelfu ajira zimepotea hii sio Afya ni umasikini ktk taifa.

Mifuko ya hifadhi nikweli ilikuwa hoi ila siomifuko yote mfuko kama ppf kabla yakuwa pssf ilikuwa vizuri sana lakini leo unaambiwa wastaafu wanahaha. Kupata mafao yao hivi mtu anafuwatilia mafao yake 2yrs kweli huu niumasikini naukikuwaji wa sheria za kazi. Jambo lakushangaza wanasiasa watalipwa mafao yao haraka wakati mnyonge akihangaikia mafao mpaka anakufa kwa presha.

Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.

Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.

Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikini na wananchi watazidi kuwa masikin zaidi kiasi watu watashindwa kununua chupi hasa vijiji, sio kukosa chup ila pia nguo ita kuwa shida why mmebana sana mkasahau pia magendo hupung ukali wa maisha yes taifa hili bado ni changa na yale tunayafanya ktk sera hizi za utawala wa awamo ya Tano kama hatuto angalia vizuri basi hili taifa linarudi pale alipo tuacha Hayati baba wa Taifa.
Taifa kulipuka kwa kishindo kikuu siku dk Magufuli akitangazwa rais - JamiiForums

Jamiiforums bwana,hawana mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom