Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Nenda segerea ndio utajua kama zinafanya kazi ana lahSikia nikweli uyasemayo ila angalia kwa mapana hathari ya kiuchumi kwa wale sio mafisadi pili lipo kundiktk utawala wake wanakula nchi nani asie juwa? Sasa kama mafisad wapo wapelekwe mahakama ya mafisadi ambayo kwa miaka mitano Sina uhakika imefanya kazi.
Sidhani kama watakuelewaKama hujishughulishi lazima uwe maskini!
Hebu tuambie maisha bora kwa kila mwananchi ni yapi. Unajua kuna vitu mnavisema na hamjui maana yake niniHii miundombinu anayoijenga wakati huu ingeendana na maisha bora kwa kila Mtanzania, basi Magufuli angekuwa ni bonge la Rais kuwahi kutokea Tanzania!
Kwa bahati mbaya asipochukua hatua mapema, atakuja kushangaa sana hapo baadae nchi yetu ikigeuka kuwa Ethiopia ya pili! Ina mpaka treni ya umeme pale Addis Ababa, ina mradi mkubwa wa kuzalisha umeme kuliko yote Afrika!
lakini wananchi wake kila siku wanakamatwa kwenye makontena ya malori na wengine hata kufia njiani kwa lengo tu la kwenda kutafuta maisha bora nje ya Ethiopia. Kisa ni kuwekeza nguvu kubwa kwenye maendeleo ya vitu na kusahau maendeleo ya watu.
Yaani mpaka mwaka huu 2015 bado napokea mshahara ule ule alioniachia Kikwete!! Halafu badala ya kuniletea unafuu wa maisha, ndiyo kwanza ananiongezea makato ya Bodi ya Mikopo! Ni mfanyakazi mwenye uwendawazimu tu atakaye muelewa Magufuli.
Niwaulize nyie CCM wenye Tiss/Takukuru/other security apparatus mliwezaje kuruhusu fisadi mpk kufikia nyadhifa ya kua waziri mkuu na mkamuacha agombee urais wa nchi na mpk leo mmeshindwa kumchukulia hatua yoyote ile.Wakati ule alikuwa mgombea Uraisi kwa tikiti ya chama chenu alikuwa msafi?
God save us
Ina maana makatibu wa vyama vya ushirika wakichelewesha malipo ya wakulima wa korosho suluhu ni kuvifuta vyama vya ushirika ?Sasa unachopinga ni kipi? Basi tuambie wewe unaejua serikali imenunua korosho kwa bei gani? Na kuhusu watu ambao hawajalipwa shida sio serikali ni viongozi wa vyama vya msingi ndio ambao wanaleta ubabaishaji hasa makatibu wa vyama vya msingi ndio maana wiki kadhaa zilizopita akatangaza kuvivunja na kuvifutia usajili baadhi ya vyama.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao nilipima tani kadhaa lakini nikazungushwa kwenye malipo lakini nikaamua kufuatilia mwenyewe kuanzia wilayani matokeo yake wiki tatu zilizopita pesa zangu zikaingizwa kwenye Akaunti tena kwa bei ileile ya 3300.
Tunawaomba nyie chadema kwenye msimu wa Korosho ujao korosho muje muzinunue nyie japo kwa TSH 3000 ili muwanufaishe wakulima
Acheni kuuongopea Umma.
Hongera JPM naipenda Tanzania
Hapa umedanganya au hujuiMimi ninachojali pesa yangu nimelipwa haijalishi ni lini.
Wakulima inapaswa wajilaumu wenyewe sababu wanunuzi kutoka India na Vietnam walitaka kununua korosho kwa TSH 2500 wao wakakataa kuuza wakisema bei ni ndogo wakaiomba serikali iwasaidie sasa wewe ulitaka Magufuli afanye nini?
kojoa ukalale maana huna hoja.Niwaulize nyie CCM wenye Tiss/Takukuru/other security apparatus mliwezaje kuruhusu fisadi mpk kufikia nyadhifa ya kua waziri mkuu na mkamuacha agombee urais wa nchi na mpk leo mmeshindwa kumchukulia hatua yoyote ile.
Haya panua nikukojolee mkojo mkubwa.kojoa ukalale maana huna hoja.
Nasikia hata mitandaoni mmepanga kuleta sheria zenu za kikaburu ili muwabane vizuri wale wasiomsujudia yule sanamu.Chadema kwisha habari yenu. Mtabaki mtandaoni tu.
Wewe unayejua tuambieHebu tuambie maisha bora kwa kila mwananchi ni yapi. Unajua kuna vitu mnavisema na hamjui maana yake nini
God save us
Wanajitokeza wengine kushangaa au kusikia Ni Mimi ataongea lakini sidhani kama ndio kumkubali na wengi hawana jeuri ya kumuuliza . . Nakumbuka yule mmoja tu kule Tabora sijui Igunga ile, alimwambia aachie fedha hali Ni mbaya.Mbona akifanya ziara hasa huko vijijini watu wanajitokeZa kwa wingi na kumshangilia?!
wamezoea hali ya umasikini na kufanya kuwa ni sehemu ya maisha ama hawajui kwamba wako kwenye lindi la umasikini.
Wakipelekwa mahakamani basi wahukumiwe sio kesi zinahairishwa kwa kipindi cha miaka sita kwa kisingizio cha upelelezi bado haujakamilika.Tatzo hamueleweki, watu wakipelekwa mahakaman kama wakina rugemalila, kitilya na wengine mnaanza tena kulalamika wanaonewa
Wamesahau CAG kabainisha 1.5trilioni haionekani.Wenyewe wakija hapa watakujibu mambo ya SGR,Stigler's gorge,kujenga zahanati kila kata,elimu bure etc
Ndio majibu yao hayo,waulize sasa haya mliyoyasema yanamsaidiaje mtumishi wa umma?Utasikia nyie ni wapiga dili tu.
Hii ya bodi ya mikopo ni msiba mzito Sana watu wanakatwa hela almost yote. Serikali ifikirie upya watumishi umaskini umeongezekaUmeongelea mambo mengi Ila umesahau stahiki za watumishi wa umma. Hakuna increment wala kupanda madaraja kwa kipindi cha miaka mitano. Pamoja na hayo yote bodi ya mikopo imeongeza makato kutoka % 8 mpaka% 15 nje ya mkataba ambao watu walisaini kipindi wanaomba mikopo. Pamoja na kuongezeka Kwa makato ya HESLB pia zimeongezwa faini mbalimbali kwenye ambazo zinapeleka watumishi kwenye dimbwi la umasikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio wale mnaowaambia wengine wajiajiri wakati nyie mmeajiriwa na ikitokea ajira imeota mbawa mnakufa kwa stress haraka sanaSidhani kama watakuelewa
God save us
Kakimbia kukopwa,Kumbe jamaa alikua mlamba makalio wa hapo Lumumba?!
Daah! Noma sana sasa hivi ni zamu ya Bia yetu kulamba makalio. Kila zama na kitabu chake
Kama ukiweza ni heri ujinyime kusomesha kuliko kukopaHii ya bodi ya mikopo ni msiba mzito Sana watu wanakatwa hela almost yote. Serikali ifikirie upya watumishi umaskini umeongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani Mimi najuta hyo inayokatwa kwa mwezi majanga, wazazi wajitahidi tu kuanza kuweka akiba ya kusomesha watoto chuo Kikuu, bila hvo ni umaskini mtupu, na usipoanza kulipa riba inaongezeka tu kila mwaka.Kama ukiweza ni heri ujinyime kusomesha kuliko kukopa
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.Nyie ndio wale mnaowaambia wengine wajiajiri wakati nyie mmeajiriwa na ikitokea ajira imeota mbawa mnakufa kwa stress haraka sana