Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

Dah! Sijasoma uchumu lakini ningeambiwa nizungumzie uchumi wa Tanzania ningelizungumza vizuri zaidi yako.
 
Hivi hizi mada zenu mnazokuwa mnaandika , mnafanyaga uchunguzi kabla ya kuandika.
Mimi ni external Auditor haswa kwenye taasisi za kibank.
Ulichokiandika sio kweli kabisa.
Last microfinance niliyo-audit imepata faida ya bilioni 1.3 baada ya kodi ipo maeneo ya Mwenge tu hapo.
Serikali inazilea sana hizi bank maana nyingi hazija-meet requirements za BOT .
Nb:
Mkuu kama unataka kutoka kibiashara hakuna biashara inayolipa fasta kama microfinance. Trust me tena kipindi hiki hìki
cha Magu.
Nimeshindwa kukuambia in-deep kwenye ma-bank , lakini ukiona mpaka bank imefilisika ujue serikali imeisaidia sana ila imeshindikana.
Bank kama _CB ingekuwa nchi serious haitakiwi kuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sera ya ccm watanzania wawe masikini ili waendelee kuwapa kura au hata wasiopowapa wakiibiwa kura zao wakae kimya.
 
mkuu tuambie,accessbank ina hali gani? Nayo imepata faida? Je wakulima waliokuwa wanakopeshwa na hiyo bank wanaendelea kufaidika na hiyo mikopo?
 
Ngoja nisubiri kwanza wenye kumbukumbu waje wanikumbushe hivi Mkwere wakati anaondoka Bei ya kilo ya sukali ilikuwa beigani!😋😋
 
Dah! Sijasoma uchumu lakini ningeambiwa nizungumzie uchumi wa Tanzania ningelizungumza vizuri zaidi yako.
Ungezungumzia vizuri zaidi kivipi wakati hujasomea???? Wewe ndiyo walewale akina Kabudi wanajifanya wanajua kila kitu lakini vitu vidogo tu vinamshinda. Huyu Magufuli ni disaster na ni wa hovyo katika historia ya nchi ya yetu.
 
Utakapo kamilika mradi wa JNHPP ndio utakuja kuona mazuri ya JPM.
Litakapokamilika daraja la busisi to kigongo ndio utakuja kutambua unalalamikia upuuzi.
Pale reli ya Sgr itapoanza kusafirisha mizigo na abiria utakuja kuona aibu.
Maana Cement mwanza ni elfu ishirini lakini itashuka bei na kuwa elfu kumi na tatu.
 
Upo sahihi kabisa
 
Huyo ni mlevi anayetafuta uteuzi kujikomboa na umasikini uliopo tayari nchini na ujao unaoletwa na Awamu hii ya majaribio ya kila kitu. Bia Yetu limebaki jina tu maana hainyweki tena kwa sababu ya umasikini wa kipato ndo maana gongo ndio kimbilio letu hata Wabunge wameshauri lihalalishe. Awamu ya wanyonge!
 
Kwani wewe unadhani ni nani huwa anawaingiza madarakani??--- ni yule mkuu wa tume ya uchaguzi kama hujui!!!.
Haki huwa haitolewi bure bali huchukuliwa.Hata siku moja usifikiri kuwa yule mkuu wa tume ya uchaguzi atawapa Watanzania haki yao bure, ni lazima watanzania waichukue haki yao kwa nguvu
 

Kwa mwendo huu katika awamu ya kwanza ya huyu muheshimiwa, kama katika awamu yake ya pili asipobadilisha system ya uchumi (uchumi hodhi wa serikali) na kuwa nusu uchumi hodhi wa jamii basi hiyo itakuwa ni "kifo" cha Watanzania kimaisha -- life will be much harder.
 
Inaitwa awamu ya kuleta umasikini nchini,Ila si ajabu ndio mifumo ya ujamaa ilivo.Thus walioendelea hawautaji mfumo wa ujamaa unaleta umasikini nchini.Lengo la ujamaa ni kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe.Hakuna future yeyeto at all hata apewe miaka 50
 
Huyo siyo fisadi ni mgombea uraisi mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA! Aliyeshindwa kwa sababu kura zake ziliibiwa! Siyo fisadi, maana CHADEMA walimsafisha.
 
ni lazima watanzania waichukue haki yao kwa nguvu


Ni mtz gani unayemzungumzia hapa??-- ni wewe na mimi??!!, very hillarious .

Wewe unamjua kondoo??-- Wtz ni kondoo. Raisi yeyote akishindwa kuitawala Tz, kamwe hawezi kutawala hata serikali ya kijiji katika nchi jirani. Wtz wanaojitambua ni wachache mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…