Nionesheni bodaboda aliyeagiza gari Japan au China kwa kipato cha bodaboda niache kazi ya utumishi wa umma ndani ya saa 24

Hii sasa ni too much
Unamfaninishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es salaam na mtumishi wa umma?
Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajari kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6?
Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni mia moja leo hii unamfananisha na Bodaboda ambaye hata nywele kuchana ni mtihani.
Nionyesheni bodaboda mwenye nyumba angalau ya milioni 20 ambayo Karen kwa kazi ya kubeba watu?
Sasa hivi muda wa kazi ukipita ofisi za umma zikiwemo shule za msingi Dar es salaam utakutana na gari namba C,D na E nyingi za walimu na hazijawahi kukosa mafuta hata siku moja. Na service zinafanyiwa kwa wakati. Bodaboda akiharibikiwa cylinder head ya 35 anahangahika kama kaibiwa figo
Utumishi wa umma kwa kada ipi? Tuanzie hapo😅
 
Usiumize kichwa bwashee, vijana wa kitanzania hawajitambui, Chongolo yuko sahihi kabisa
 
Hii sasa ni too much
Unamfaninishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es salaam na mtumishi wa umma?
Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajari kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6?
Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni mia moja leo hii unamfananisha na Bodaboda ambaye hata nywele kuchana ni mtihani.
Nionyesheni bodaboda mwenye nyumba angalau ya milioni 20 ambayo Karen kwa kazi ya kubeba watu?
Sasa hivi muda wa kazi ukipita ofisi za umma zikiwemo shule za msingi Dar es salaam utakutana na gari namba C,D na E nyingi za walimu na hazijawahi kukosa mafuta hata siku moja. Na service zinafanyiwa kwa wakati. Bodaboda akiharibikiwa cylinder head ya 35 anahangahika kama kaibiwa figo
Kama kipato chako hakivuki milioni 23 (USD 10000) kwa mwaka jua kwamba wewe bado ni maskini tena fukara. Watumishi wa umma karibu wote ni maskini. Mtumishi wa umma anapomkashfu bodaboda ajue kabisa anamkashfu maskini mwenzake. Kuliko kutupiana maneno bora kila mmoja awe bize na mambo yake kwasababu mchonganishi wenu LEMA anakula zake bata kwa mabeberu huko. Acheni kuwa wajinga
 
47B00324-11AD-4910-8064-F744B877F195.jpeg
8E5E8144-6FD6-4E05-9E58-4AB714D1CBE5.jpeg
 
Back
Top Bottom