Nionesheni bodaboda aliyeagiza gari Japan au China kwa kipato cha bodaboda niache kazi ya utumishi wa umma ndani ya saa 24

Utumishi wa umma kwa kada ipi? Tuanzie hapoπŸ˜…
 
Usiumize kichwa bwashee, vijana wa kitanzania hawajitambui, Chongolo yuko sahihi kabisa
 
Kama kipato chako hakivuki milioni 23 (USD 10000) kwa mwaka jua kwamba wewe bado ni maskini tena fukara. Watumishi wa umma karibu wote ni maskini. Mtumishi wa umma anapomkashfu bodaboda ajue kabisa anamkashfu maskini mwenzake. Kuliko kutupiana maneno bora kila mmoja awe bize na mambo yake kwasababu mchonganishi wenu LEMA anakula zake bata kwa mabeberu huko. Acheni kuwa wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…