Nionesheni bodaboda aliyeagiza gari Japan au China kwa kipato cha bodaboda niache kazi ya utumishi wa umma ndani ya saa 24

sema boda nihatari sana.wanavyo koswa koswa na matata🤣🤣🤣🤣Hadi huruma.

kufa kwao nisekunde tuu utaskia mwanetu kavuta.ukiuliza kisa kapata ajali.
 
sema boda nihatari sana.wanavyo koswa koswa na matata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hadi huruma.

kufa kwao nisekunde tuu utaskia mwanetu kavuta.ukiuliza kisa kapata ajali.
Mwalimu hiyo sio hoja hoja ni kua kwenye mshahara wako ukiugawa unapata kwasiku ni shingapi?

Sisi kwa siku ni 35k
 
Kustaafu u-boda boda (Maafisa usafirishaji) ni kupata kilema au kufa. Mi naomba kuonyeshwa mtoto wa Kiongozi yoyote, hata wa nyumba ndogo ya viongozi ambaye ni bodaboda (mbado, nasema mbado).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…