Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh bodaboda gani analaza 35000 per day maisha sio rahisi kiasi hicho.Afisa Utumishi anakipwa take home 470,000/-
Bodaboda 35000 Kwa siku, Jumla 900,000/-
Watumishi wa Halmashauri nyie Hamuwatishi bodaboda Kwa kipato
Watumishi wanaowatisha/kuwazidi bodaboda kwa kipato ni WA Tanroads, EWURA, EGA,tpdf, Tra, Tcra,latra, TPA, TANAPA nk
Bodaboda anaefanya delivery. Anahudumia maduka hata 10 tofauti. Anapeleka mzigo na analeta hela kutoka kwa mteja hadi 2m bila shida.Mh bodaboda gani analaza 35000 per day maisha sio rahisi kiasi hicho.
🤔🤔🤔🤔 #killa cam we akili kubwa, inatakiwa kuumiza kichwa kupata hii falsafa yakoMaisha ya mbuzi yana dharau sana kula yake ya kupewa kamba, kula yake kila siku ya kukisiwa lakini anakunya mavi madogo madogo ila anataka kuishi kwenye banda kubwa🤣
Naweza kukutetea hujawa kebehi Kaz hz ,mpwayungu ndio kinara wa kukebehi walimu hapaSijawahi kuwa na hiyo team
Aje UMUGHAKA ndio katibu mkuu wao wa waendesha pipipiki nchi nzimaMpambano ushaanza hapa ...
Team utumishi 1 v/s 0 Team boda boda ...
jamani boda boda mko wapi...??...[emoji39][emoji39][emoji39]
Huyo jamaa alichanganya mafaili kidogo.Naweza kukutetea hujawa kebehi Kaz hz ,mpwayungu ndio kinara wa kukebehi walimu hapa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hpn haiwezekani ni ngumu wanajifariji tuKwani Kwa take home ya 470,000/- ya Afisa Utumishi, anaweza kukopa milioni 20? Bodaboda wako juu ww
Wengi mileviTatizo la bodaboda Ni kutokua na Elimu ya utunzaji wa pesa that y wanaonekana hawana future na Maisha . Lakini kipato huwez kuwazidi.
Mwalimu wa wapi ambae unaandika herufi kubwa tu unafundisha watoto ujinga boda boda anakuzidi maishaNIMETAFAKARI KIDOGO ALITOA HUU UZI ANAWEZA KUCHAFUA HALI YA HEWA
1.HOJA YAKO INALETA MATABAKA
2.SIO KWELI KUWA MTUMISHI ANAZIDIWA KIPATO NA BODA BODA ALIYEMUAJILI
3.UNATAKIWA UHIMILI CHANGAMOTO NA MALUMBANO HASA YA MITANDAO KWANI MTU ANAWEZA KUONGEA CHOCHOTE KWA SABABU HATUJUANI
4. UNAFIKIRIA ALIYEKWAMBIA BODA BODA ANAPESA MTOTO WAKE AKITAKA KUOLEWA NA BODABODA AU MTUMISHI ATAKIMBILIA WAPI JIBU UNALO JAPO UKWELI MCHUNGU
5 MASUALA MENGINE NI YAKIJINGA NI BAAZI YA WATU KUTAKA KUCHAFUA HALI TU..
6. MIMI NI MWALIMU WA MSINGI NA BODA BODA NINAZO MBILI ILA HUWEZI KUNIAMBIA NIACHE UALIMU NIKAJIAJIL KUWA BODA BODA RASMI
7...NIKIFIKIRIA BASI TU ILA KAMA VIP ACHANA NA MAMBO YA KULUMBANA KWA NAMNA HII HAKUNA TIJA MTAA UNAJIELEZA WENYEW
AiseeHii sasa ni too much
Unamfananishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es Salaam na mtumishi wa umma?
Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajali kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6?
Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni mia moja leo hii unamfananisha na Bodaboda ambaye hata nywele kuchana ni mtihani.
Nionesheni bodaboda mwenye nyumba angalau ya milioni 20 ambayo Kajenga kwa kazi ya kubeba watu?
Sasa hivi muda wa kazi ukipita ofisi za umma zikiwemo shule za msingi Dar es salaam utakutana na gari namba C,D na E nyingi za walimu na hazijawahi kukosa mafuta hata siku moja.
Na service zinafanyiwa kwa wakati. Bodaboda akiharibikiwa cylinder head ya 35 anahangahika kama kaibiwa figo
No mwanzilishi wa hii Vita ni mpwayungu village na nahisi ni sababu aliisomea hii kazi then kwenye ajira akakalia [emoji867]Naona hii vita imefikia patamu! Kwani na wewe ni mwalimu? Maana hii vita ni kati ya bodaboda+bajaj vs walimu.
Na mwanzilishi wa hii vita ni Mh. Godbless Lema wa Chadema.