Nionyeshe picha kama hii kutoka msimbazi niwaonyeshe mbuzi anayetaga

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
images - 2023-10-27T203201.091.jpeg
 
Watakuambia "mbona sisi mara kadhaa tumefika mpaka hatua ya robo fainali!! Halafu tuliweza kumleta Caesar Manzoki kuja kutusalimia siku ya uchaguzi wa viongozi wetu" 😁

Na wakija wale mateja, watatumia yale maneno ya yule mungu wao mropokaji na mwenye mdomo mchafu kama wao ya "wenye akili huko kwenu ni wawili tu" 😁
 
Aaaaahaaa
 
Back
Top Bottom