MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
๐๐๐Daaah hio kichwa cha habari sikutegemea ๐ ๐ ๐
Watakuambia "mbona sisi mara kadhaa tumefika mpaka hatua ya robo fainali!! Halafu tuliweza kumleta Caesar Manzoki kuja kutusalimia siku ya uchaguzi wa viongozi wetu" ๐
Hawa itakuwa mbuzi wa bonde la Msimbazi au wa kichina ๐คฃ๐คฃ๐คฃMbona mbuzi Wa hapa jirani wanataga, ni kitu adimu?
View attachment 2795587
..Hiyo picha ina nini cha zaidi?
Kulu daba katika ubozi wakoWatakuambia "mbona sisi mara kadhaa tumefika mpaka hatua ya robo fainali!! Halafu tuliweza kumleta Caesar Manzoki kuja kutusalimia siku ya uchaguzi wa viongozi wetu" [emoji16]
Subiri nikuletee ya kombe letu la mwakarobo na kufa kiume
AaaaahaaaWatakuambia "mbona sisi mara kadhaa tumefika mpaka hatua ya robo fainali!! Halafu tuliweza kumleta Caesar Manzoki kuja kutusalimia siku ya uchaguzi wa viongozi wetu" ๐
Na wakija wale mateja, watatumia yale maneno ya yule mungu wao mropokaji na mwenye mdomo mchafu kama wao ya "wenye akili huko kwenu ni wawili tu" ๐
Hongera mkuu
Hiyo ndiyo medali na kombe lenu ? ๐คฃ๐คฃ Kweli makolo no mazwazwa. Hawakukosea kuwaita mbumbumbu fcNitafutie clip ya Rais wa FIFA akisema Daima nyuma mbele mwiko
๐ธ Walio na akili mnajulikana ni wangapiHiyo ndiyo medali na kombe lenu ? ๐คฃ๐คฃ Kweli makolo no mazwazwa. Hawakukosea kuwaita mbumbumbu fc