Nionyeshe picha kama hii kutoka msimbazi niwaonyeshe mbuzi anayetaga

JUKWAA LIMEHAMA.

KUTOKA ASUBUHI MBAKA JIONI NI KUBISHANA SIMBA NA YANGA.

NANI AMEWALOGA WATANZANIA.

INASIKITISHA SANA.

😭😭
 
Watoto muwe mnaelewa!! Kwenye soka medali si sehemu ya taji. Hakuna mashindano ya kugombea taji. ndiyo maana hakuna kanuni yoyote ya mashindano yoyote ya soka ambayo huainisha utoaji wa medali kama sehemu ya taji!! Hizo ni shanga tu za kumpoza mtu aliyeshindwa kubeba taji!! Ndiyo maana wenye akili zao huwa wanakataa kuzivaa!!
 
Nitajie mashindano ya soka yoyote yale duniani ambayo timu hutangaziwa kugombania medali!! Kama mnahitaji medali hamieni kwenye riadha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…