Aliyekwambia ukubwa wa mkoa ni kigezo pekee cha kugawa mkoa ni nani?Wangebadilisha mkoa wa Geita uitwe Chato kuliko kugawa gawa mikoa, how about mikoa mikubwa ka Morogoro, Tabora au na wao siku wakipata Rais ndio wataigawa hyo mikoa?
Aibu tupu kufanya vitu bila kufata utaratibu
Maendeleo hayaji bila gharama.Wanawaongezea wananchi na wakazi wa Chato garama za maisha zisizo za lazima.
F*ck off u stiff insolent naked fool!Ww una undugu na bata mizinga, hiyo chato imetoka Geita au imetoka Mwanza, ata kama chato iwe mkoa ay isiwe mkoa wewe inakunufaisha nini na familia yako? Wewe ndo Swine tena kwenye group la porcine.
๐๐๐ utakuwa umetoka kumegwa na ngosha.F*ck off u stiff insolent naked fool!
Ndio maana nikasema uko direct proportional na ID yako!Shwain๐๐๐ utakuwa umetoka kumegwa na ngosha.
Hiyo lawama unaitupia Mwanza au unaitupia serikali mimi nakuambia hivi hakuna uhusiano wowote kati ya Mwanza na Chato kama hutaki kajinyonge.
Tangu lini wasubi wakawa jamii ya wahaya!!! Ndo nimesikia leoUhusiano uliopo wa Chato na Mwanza labda wa wasukuma wa Mwanza kuhamia Chato ambayo ni nchi ya wasubi miaka ya hamsini mwishoni na kuigeuza usubi kuwa usukuma na kuwafanya wasubi ambao ni jamii ya wahaya wabaki kama kisiwa katika bahari kuu ya wasukuma.
Tangu lini wasubi wakawa jamii ya wahaya!!! Ndo nimesikia leo
Pale mtu unapolazimisha undugu [emoji23][emoji23]Ni jamii ya wahaya na lugha mnasikilizana sana tu. Usiwakane ndugu zako Bw. Instanbul
Pale mtu unapolazimisha undugu [emoji23][emoji23]
Hivi na mawani alienda nayo... DaaahVile mwendakuzimu amefurahia mchakato kukamilika kutokea huko kuzimu๐๐๐
View attachment 1958157
Mkerewe na mhaya wapi na wapi ...Wakerewe, wazinza na wasubi ni jamii ya wahaya. Huo ndio ukweli mchungu ndugu yangu
Yatamuondolea umiliki!!?Wengine pigeni kelele tu, tunaoumia ni Mimi na Anna Tibaijuka ambao maelfu ya ekari za ardhi yetu yatamegwa kutoka Muleba kwenda Chato...
Hebu kasome vzr history ya wahaya sio unakuja na kubwabwaja hapa.Wakerewe, wazinza na wasubi ni jamii ya wahaya. Huo ndio ukweli mchungu ndugu yangu
Hebu kasome vzr history ya wahaya sio unakuja na kubwabwaja hapa.
Upande wa awali walikuwa wanambeba, upande mpya pakitokea la kutolea anapewa jina la "mashamba yasiyoendelezwa kugawiwa kwa wananchi maskini wasio na ardhi"Yatamuondolea umiliki!!?
Tulia dawa ikuingie kenge wewe.Mbona sijaona mchakato wa kupata Mikoa ya Msoga na ule wa Lupaso? ama mimi ndio sielewi? yaani hiki kijiji kinawapa watu tabu wanahangaiiika ili kiwe mkoa , mbona watanzania tunakua wajinga sana, ili iweje kikishakua mkoa?
Intanbul anataka kuwakana wajomba zake๐๐๐Ni jamii ya wahaya na lugha mnasikilizana sana tu. Usiwakane ndugu zako Bw. Instanbul
Mh! Mkuu Simiyu si ilimegwa toka mkoa wa Shinyanga?Chato utakuwa n mkoa wa tatu baada ya Geita na Simiyu