Nipashe: Mchakato wa Chato kuwa mkoa umekamilika

Nipashe: Mchakato wa Chato kuwa mkoa umekamilika

Wangebadilisha mkoa wa Geita uitwe Chato kuliko kugawa gawa mikoa, how about mikoa mikubwa ka Morogoro, Tabora au na wao siku wakipata Rais ndio wataigawa hyo mikoa?
Aibu tupu kufanya vitu bila kufata utaratibu
Aliyekwambia ukubwa wa mkoa ni kigezo pekee cha kugawa mkoa ni nani?
 
Ww una undugu na bata mizinga, hiyo chato imetoka Geita au imetoka Mwanza, ata kama chato iwe mkoa ay isiwe mkoa wewe inakunufaisha nini na familia yako? Wewe ndo Swine tena kwenye group la porcine.
F*ck off u stiff insolent naked fool!
 
Uhusiano uliopo wa Chato na Mwanza labda wa wasukuma wa Mwanza kuhamia Chato ambayo ni nchi ya wasubi miaka ya hamsini mwishoni na kuigeuza usubi kuwa usukuma na kuwafanya wasubi ambao ni jamii ya wahaya wabaki kama kisiwa katika bahari kuu ya wasukuma.
Hiyo lawama unaitupia Mwanza au unaitupia serikali mimi nakuambia hivi hakuna uhusiano wowote kati ya Mwanza na Chato kama hutaki kajinyonge.
 
Uhusiano uliopo wa Chato na Mwanza labda wa wasukuma wa Mwanza kuhamia Chato ambayo ni nchi ya wasubi miaka ya hamsini mwishoni na kuigeuza usubi kuwa usukuma na kuwafanya wasubi ambao ni jamii ya wahaya wabaki kama kisiwa katika bahari kuu ya wasukuma.
Tangu lini wasubi wakawa jamii ya wahaya!!! Ndo nimesikia leo
 
Mbona sijaona mchakato wa kupata Mikoa ya Msoga na ule wa Lupaso? ama mimi ndio sielewi? yaani hiki kijiji kinawapa watu tabu wanahangaiiika ili kiwe mkoa , mbona watanzania tunakua wajinga sana, ili iweje kikishakua mkoa?
 
Tulia dawa ikuingie kenge wewe.
 
Back
Top Bottom