Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

Nina haya majina, naomba islamic version yake;
Mabula
Makoye
Msalaba
Maduka
Massawe
Mtenga
Mayunga
Lusekelo
Anyambilile
Kiswaga
Mfinanga
Luvanga


Nina jamaa nataka niwashawishi kwa kubadili majina yao kwanza.
 
Mkishiba pilau uwa mnasumbua
 
Samahani, sina uhakika kuhusu jina "Maduhu". Unaweza kuniambia asili ya jina hilo au maana yake ili niweze kukusaidia kupata majina mengine yanayofanana na hayo?
Maduhu yaani“ mauchi“
 
👎👎👎
Na wewe umepewa akili, hata kama mtu ni mwenye busara, anajua, changanya na zako
Sasa hutakiwi kukata kabisa kusema hilo ni jina la Kiarabu wakati huna Elimu hiyo.

Fanyeni utafiti vijana acheni miteremko, mnadanganya watu na nyinyi pia mnajidanganya.
 
Sasa hutakiwi kukata kabisa kusema hilo ni jina la Kiarabu wakati huna Elimu hiyo.

Fanyeni utafiti vijana acheni miteremko, mnadanganya watu na nyinyi pia mnajidanganya.
Brother, hatupo serious sana, maana hatuna haja ya kubadili majina yetu..
Wanasema "it's just for fun"
Kwaiyo hili jambo usilitilie uzito kiivo
Fanyeni utafiti vijana acheni miteremko
Kuhusu utafiti naomba unilipe/unipe funds kwa ajili ya hiyo shughuli, natamani sana kupata kitu cha kufanyia research ukinipa iyo kazi ntakuletea world class results
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…