Daah!! Naandika kwa masikitiko makubwa hichi kilichonikuta.
Week ilopita bhana uchumi uliyumba, nikasema ngoja nimcheki Ex wangu aniwezeshe kidogo, nikaamua nimtext.
Mimi..." Dear X, kwema".
Ex.... " Kwema sanaa, vipi nawe".
Mimi ... " Niko poah , ila nimechalala hataree , niwezeshe basi 1k naumwa niende hospital"
Ex... " 1k Haina shida, fanya basi mambo yetu nimeyamis hataree".
Khaa!! Yaani kumpa mtu 1k mpaka akupe kitu!! Mbona mnazingua nyie Ma X.
Mnatafuta Hela za nini sasa kama hamuwezi kuzitoa kumsaidia EX wako.
Aliniboa kinoma. Mtu Hela unazo 1k nayo kitu gani kumpa mwenzio.