Tetesi: Nipe nikupe, chagua kuendelea na UKUTA au ubaki na Bilicanas

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
 
Kwahiyo inonyesha ccm mnavyojua kujikinga na mahovu yetu.. tukitane october 1
 
Mbowe katulizwa na NHC na Lowassa katulizwa na Kinana, game over. Haya Ben kesho wewe na wenzako wa humu JF muingie mtaani kama kweli mnacho pigania ni kwa maslahi ya watanzania. Msipo fanya hivyo ndio tutajua mnampigania Mbowe.
 
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
Hakuna kitu hapo, old rhetoric!
  1. Ataanza kwa kumlaumu Mwenyekiti wa CCM
  2. tasema demokrasia inaminywa nchini
  3. Atawalaumu polisi kwa unyanyasaji
  4. Atalaumu kwa kuandamwa sana na NHC kwa kutolipa kodi ya pango
  5. Atasema kwa mazingira hayo UKUTA umeahirishwa kwa kuwa watu wanaweza kuumia, na wa kumlaumu ni serikali ya CCM

Wakati huo huo, demokrasia katika vyama vya upinzani VYOTE ni kizungumkuti!
CHADEMA ni dhahiri wabunge wamejiwekakando na UKUTA
CUF viongozi wamekabana koo na hakuna la maana toka huko.
ACT na vyama vingine UKUTA hawajui ni mdudu gani!

Mbowe ebu itikia , PIIIIIIPOOOOOZZZZZZ!!!!

Tulijua yanayojiri, mtenda katendwa!!!!!
 
Kwell ccm akili kisoda nguvu kifaru amkumbuki hasara mliyopata kufanya matumizi ya siyo kua yalazima
 
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
Kwahiyo wamefika bei sio?
 
Dawa ya deni kulipa........Nashangaa badala ya kulipa deni la NHC tuendelee kuenjoy na debe a.k.a MAJOKA anahangaika na UKUTA. Kwa kuwa kubomoa UKUTA ni rahisi na ni gharama ndogo kuliko kuujenga mimi nawashauri wajenge DARAJA kutokana na manufaa ya kutuunganisha wananchi.
Kumbe Serikali inafanya mema mengi mpaka kuvumilia deni la Kiongozi wa UKAWA? hawa watuchanganya kila siku wanadai Serikali hakuna inachofanya.
 
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
Laiti ungejua Uzi huu ni wa kuidhalilisha serikali wala usingeandika!Kwamba kusitishwa kwa UKUTA deni automatically limeisha,duuuh Lumumba muwe mnatafakari kabla ya kupost!
 
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
kwa hiyo mlitaka asidaiwe kodi ya lile jengo...?
ameshindwa kulipia sasa nini si atolewe tu, , na kama amelipia basi ataendelea kulimiliki....
acheni uchochezi, ukuta NHC na bills wala havina uhusiano
 
Mbowe katulizwa na NHC na Lowassa katulizwa na Kinana, game over. Haya Ben kesho wewe na wenzako wa humu JF muingie mtaani kama kweli mnacho pigania ni kwa maslahi ya watanzania. Msipo fanya hivyo ndio tutajua mnampigania Mbowe.

Waingie kufanya nini wakati kiongozi wao amewaambia wasubiri sidhani kama watakuwa na akili kama za UVCCM, jambo linalopigwa marufuku wao ndio wanatangaza kulifanya, non sense.
 
Back
Top Bottom