TZ ME
Member
- Dec 22, 2014
- 77
- 61
Hiki chama ni Ubatili mtupu, hivi huyu Mbowe alishaona wanachama wake ni hamnazo kiasi hiki? Kulikuwa na namna nyingi za kufanya kuhusu hii operesheni, na si kutoka kwenye kadamnasi kuwa mmeahirisha ilihali jana tu mnawahakikishia raia kuwa ukuta uko pale pale. Duh Chadema tuamini kipi kutoka kwenu????