Tetesi: Nipe nikupe, chagua kuendelea na UKUTA au ubaki na Bilicanas

Tetesi: Nipe nikupe, chagua kuendelea na UKUTA au ubaki na Bilicanas

Serikali ya safari hii haibembelezi. Lazima anyang'anyanywe

Bilicanas atanyang'anywa tu na UKUTA hakuna...sasa subirini kuona namna baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanavyorejea CCM mmoja baada ya mwingine...
 
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.

Kasage Sumu , wote mmekula aibu , mlijipanga kujikomba September Mosi na mlitegemea posho mbalimbali haya hakuna maandamano fanyeni Kazi sasa , maana wengine mmepata vyeo Kisa CDM
 
Back
Top Bottom